Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Sawa kaka,.. Penda kusoma biblia,.. Hujaanza wewe,... Endelea kuamini unachaomini, kwakua Imani ni dawa,.. Ila shukuru kwa siri anayoifanya kwa kiwango cha juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole yako weeh kwa yalokukuta [emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka unahisi watu wote wapo kama huyo wako..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole yako weeh kwa yalokukuta [emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka unahisi watu wote wapo kama huyo wako..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Usifikiri watu hawana kama huyo wako, wanao zaidi ya huyo wako bro,.. Ila wajuzi wa mambo huwa wanaendelea kusali na kukaa kimya,.. Ila kuharibu kumuelewa mwanamke ni sawa na kujaribu kuhamisha maji baharini na kuyaweka kisimani,.. Ila jipe Imani, utashinda..safari bado inaendelea, endelea kumuomba Mungu

Najua wapo mkuu,tena wenye ubora kuriko huu aliokua nao wa kwangu.ILA WEWE UWEZI KUPATA WA HIVYO KWA SABABU UMEPUNGUA SIFA YA KUPATA MKE BORA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimwamini huyo mke wako 100%,zingine baki nazo mwenyewe ili siku mambo yatakapobadilika usiumie sana!
 
Usifikiri watu hawana kama huyo wako, wanao zaidi ya huyo wako bro,.. Ila wajuzi wa mambo huwa wanaendelea kusali na kukaa kimya,.. Ila kuharibu kumuelewa mwanamke ni sawa na kujaribu kuhamisha maji baharini na kuyaweka kisimani,.. Ila jipe Imani, utashinda..safari bado inaendelea, endelea kumuomba Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kukariri maisha kubali ushalamba garasa pambana nalo[emoji23][emoji23] alafu Mie sio mwanaume mimi ni Mwanamke niko kwenye ndoa 15 years ila bd ninao kama nimeolewa jana I have the best husband in the world..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Omba mungu usifilisike au kipato kupungua!!kuna watu walikuwa wanaishi pepo ya ndo ila baada ya kusimamishwa kazi tu cha moto alikipata..fanya kama una mtania kuwa umefukuzwa kazi halafu uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtawala anasifia mtawaliwa jua kuna shida mahali
Wanawake wana akili usipime. Utamwona mpole mwenye hekima na utulivu usiomithilika, lakini anamegwa. Yuko jirani yangu hapa, mkewe huwezi kumdhania kabisa. Ila kuna jamaa anamega tena mchana kweupe ingawa anakuwa na mmewe kazini pamoja tena kampuni moja.
Halafu yeye anakuja na pongezi kwa mkewe. Sawa hongera zake.
 
Back
Top Bottom