sandraeli
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 1,424
- 2,392
Haukumsoma pindi mpo wachumba?Mafundisho ya ndoa yapo sana
Kuna mambo mengine hayavumiliki; hivi ukimuoa mke ukagundua anataka tigo wakati wewe hutaki utaendelea naye eti unavumilia?
Haukumsoma pindi mpo wachumba?Mafundisho ya ndoa yapo sana
Kuna mambo mengine hayavumiliki; hivi ukimuoa mke ukagundua anataka tigo wakati wewe hutaki utaendelea naye eti unavumilia?
Haliitwi hvyo ila kuna sababu mm ndio imenitokea akini nna mwanamke nnaishi nae nmezaa nae ni mwaka wa 8 toka 2010Linatwa kurupuko...mkuu
Mafundisho ya ndoa yapo sana
Kuna mambo mengine hayavumiliki; hivi ukimuoa mke ukagundua anataka tigo wakati wewe hutaki utaendelea naye eti unavumilia?
Sasa kama sio machaguo yao sahihi wanaoana vipi.[emoji44]
Mdada anaolewa na JOHN SINWazee wetu zamani ndoa zao zilidumu sana kwa sababu wengi wao walikuwa wakioana wakiwa wote ni mabikra,kila mmoja anakuwa wa kwanza kwa mwenzake,leo hii unaoa/ kuolewa na mtu aliyeonja kila aina ya tunda,ndoa itadumu wapi.
😂 😂 😂 😂 😂 😂Mdada anaolewa na JOHN SIN
Afu
Mkaka anamuoa MIA KHALIFA[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazini sana ndiyo yale huyu kule huyu huku siku mkikumbukana mnapeana na maradhi kabisaMihemko mkuu.eitha kipato kimekua,anata mtoto,au mtu wa kulindia nyumba yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumnusuru mwenzangu yupi sasa mke au mme wao?Waislamu wanasema kumnusuru mwenzio.
Wengi wameoana kwa mashinikizo ya wazazi, ndugu, mimba, umaskini nkSasa kama sio machaguo yao sahihi wanaoana vipi.[emoji44]
Wengi huolewa na kuoa kwa waliowapata kwa mda huo sio waliotamani kua nao...sijui nmeeleweka