syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,793
- 1,926
Duh kwa maslah mapana ya uzi wetu mkuu turud kwenye mada sasaTeh eti you were joking, Kwa taarifa yako wanaonitaniaga kuhusu hayo masuala humu wote nimeshawajua na wakicomment huwa sisemi chochote tunaishia kucheka tu.
Ila wewe siyo mara ya kwanza kulalamika kuhusu michango yangu au unafikiri kwamba sijaikariri hii id yako? Nakukumbuka sana tangu mwaka jana wakati najiita karma ulikuwa unanikejeli sana!
Na kuna siku tuliwahi bishana sana ukanitamkia maneno haya haya kuwa nina stress na sifai kuolewa eti kwa sababu tu ya ninayoyaandika humu, Ila nashangaa eti leo yamekuwa matani.
Haya huo utani tumeanza lini mie na wewe eti shosti? Mbona sina taarifa!
Sent using Jamii Forums mobile app