Recent content by Magongo

  1. Magongo

    Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

    Either of 2, completely immature or big head thin brain.
  2. Magongo

    Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

    Huyo dada hajakaa kibikira-bikira, nipe kabila lake yawezekana anaogopa kuonyesha kovu la kukeketwa.
  3. Magongo

    Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

    Sahihi, hiki chaweza kuwa kiashiria sahihi lakini kuangukia pua nako lazima ufikiiria
  4. Magongo

    Mauaji na uzushi wa ugomvi wa barabarani ambao kamwe haukuwepo…!

    M na shem/wifi yenu tushafikishana hapo so naona ni bora kufanya immediate bond termination ili chozi lisije mdondoka mamangu.
  5. Magongo

    Sensa Mbona Hawasomeki!!!

    Aisehh, polen sana.
  6. Magongo

    TCU Vs FORM SIX LEAVERS 2012...

    Selection ni kama mimba ,Time will tell.
  7. Magongo

    Maandishi kwenye magari, tumefika huku?

    Mtu akisema kauli kama "nyoka huyo!!" Kawaida huwa hana maana mbaya. Yawezeka alitaka watu wawajue vizuri Al shababu ili waweze kuepukana nao.
  8. Magongo

    Majimaji ukeni, wakati wa tendo hadi nalowa duh!

    Gauze as well as v. packs are very essential to every your game episode.
  9. Magongo

    Mkazi wa Iringa Makosa atangaza kujinyonga kwa kiingilio.

    Nipigie pande basi, m bigwa wa kusuka vitanzi na mkadiriaji mahususi wa stuli.
  10. Magongo

    Mwanafunzi Wangu Amenitoa Machozi

    Threshold yangu ya huruma huwa iko mbali lakin leo nimejisikia kuguswa. Methali ya Hamisi ina maana kwenu.
  11. Magongo

    Hawa wanajeshi ndio mnaotaka waende vitani? Kweli?

    Kwa sisi wajeda hii technic huwa tunaitambua na tunaitumia mara nyingi 2. Ila kwa mahadili ya kazi sitaitaja kwa jina.
  12. Magongo

    Lugha za kuepuka pindi upandapo daladala.

    Maana halisi ya neno inategemea mahali neno lilipozungumziwa, umri wa wazungumzaji na mahusiano baina ya wazungumzaji hao.
  13. Magongo

    Jtahd upitie inaweza kuwa msaada kwako pia.

    You are not oriented, HIGH Speed in -ve direction. Jipange upya.
  14. Magongo

    Kumpa HOUSE GIRL makufuli afuwe ni UNYAMA......

    Aaaaaakhhhh!! kumbe kapewa kufua vikabati. ningemuonea huruma kama angepewa kufua mablanketi na mazuria ya nyumba nzima.
  15. Magongo

    Naishukuru JF, nimepata mchumba!

    Nitoe njia panda mkuu, sielewi!!
Back
Top Bottom