Kina dada hata kina kaka naombeni msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sahihi, Aug 16, 2012.

 1. s

  sahihi Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani muda si mrefu nilipata kujuana na dada mmoja, lakini kadri siku sinavyo enda nahisi mabo yanabadilika na kunifanay nisijue la kufanya nisije fanay makosa. Huyu dada kwanza ameanza kunipia heshima tofauti na mwanzo, pia nikiwa na tatizo anataka alitatue hata kwa gharama yoyote. Vitu vyake anapenda nimfanyie, na ansema hakuna mwingine anaye weza kuvifanya.

  Kitu chochote muhimu anachoo fanya lazima anipe taarifa na kuomba ushauri. Mara nyingine nahisi kama sinfanyie haki kama sita mtendea kama yeye anavyo nifanyia. Pengine ni mwanzo wa safari ile njema japo inaweza kuniumiza kama ikitokea kuwa mawazo yangu ya kijinga ya kufikiri amenipenda yaka si kweli.

  Swali ivi wadada mkiwa mmezimikiwa na mtu ni viashiria gani huwa mnaonyesha kama indicator ya kuomba njia. Pengine na mimi nitasaidika hapa.

  Asanteni
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ushadondokewa!! Hongera sana!
   
 3. mito

  mito JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,615
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  kuna maneno umeyakoroga koroga hapo nimeshindwa kuelewa vizuri, ngoja tu wengine waje
   
 4. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ni wachache sana wanaopata hii bahati ya kushirikishwa. Anakuthamini na kukujali. Dont wait any more, grab that opportunity if all other factors are constant.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kuna dalili za green light hapo
  hongera joh!
   
 6. s

  sahihi Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mnanitia kiwewe
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahaa usiweweseke mjomba ukakurupuka,vuta subra ujipange vizuri
   
 8. s

  sahihi Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenzio mgeni ndoo naanza haya mambo, ebu nipe dondoo
   
 9. d

  danizzo JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ur ready 2 go right now GREEN RIGHT
   
 10. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umeona eeh, mi pia sijamuelewa vizur...................
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Zali hilo!! ....... big up.
   
 12. A

  Aristolicius Senior Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  jaribu kumueleza hisia zako kama ni muelewa hata kama hakupendi atakujibu kistaarabu life litaendelea,kwa viashiria hivyo ni kama anakupenda jarib bahati yako ''in trying there are 2 possibilities(gain&loss)but failure of trial z always loss''
   
 13. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mpige kipindi bwana...au mke wa mtu?
  :A S 465:
   
 14. Magongo

  Magongo Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sahihi,
  hiki chaweza kuwa kiashiria sahihi lakini kuangukia pua nako lazima ufikiiria
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Mkuu furahi unapendwa!
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Sahihi,una umri gani?
   
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Acha kuishi kwa hisia bro..mfungukie
  Ukitaka kujua kama anakupenda au lah..jifanye unampigisha stori zinazomhusu demu wako (hata kama huna)..
  Jaribu kujifanya kana kwamba kuna mdada anakusumbua..'repercussion' yake itakupa jibu..na unaweza kuendelea kuanzia hapo!!
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sikiliza mzee asilimia themanini unakaribia kukokota zigo lakini samahani vuta subira kidogo kaka kama amekushirikisha kwa yote inamaana hatasita kukuomba soseji mwenyewe.vuta subira na niamini na utafaidi kabla ya siku ya idi goodluck.
   
 19. s

  sahihi Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni mtu wa rika ya kuoa, nimemzidi kama miaka 6 ivi,
   
 20. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hee!
  mbona tayari kitu imegeukia KIBRA
  chinjaaa!
   
Loading...