Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Jamaa ni very creative kwa nini ili kuongeza makusanyo asije Dar ili ifanyikie diamond Jubilee
liwalo na liweAnatania!
kwani mlitoa kiingilio?jamaa mbunifu kweli amebosha onyesho kwa kutoza kiingilio teh teh teh inaitwa ntoke vipi hiyomwaka jana mwezi wa 12 alikuja pale +255 pub akatangaza kuwa kesho yake atajinyonga,hadi leo hajinyonga tu,
Jamaa ni very creative kwa nini ili kuongeza makusanyo asije Dar ili ifanyikie diamond Jubilee
hujui historia, Mkwawa hakuwa mhehe rudi kasome vinzuri historia
Kumbe ndiyo mhandisi nisaidie Mkwawa alikuwa mngoni?
hebu soma hapo chini kidogo tu... usidhani wahandisi wahajui historia bana..:loco:
Kabla ya mwanzoni mwa karne ya 16 mkoa wa Iringaulikuwa na wakazi wachache, walioishi katika eneo dogo la Mashariki hadiKusini-Mashariki linaloanzia mpakani mwa mkoa huo na mkoa jirani wa Morogoro.Ni mwambao wa safu ya milima ya Udzungwa hadi kufikia vilima vya Kipengere,walikokimbilia Wakinga kutokana na mapambano ya koo hasimu za Kihehe. Huko ndipo walipoishi wenyeji wa asili wa mkoahuo ambao ni Wadzungwa, ambao nao baadaye walivutwa ndani ya mjumuiko uliokujakujulikana kama Wahehe mnamo mwishoni mwa karneya 18. Kusini-Magharibi mwa mkoa huo ambako akina Mkwawa walihamishia makaomakuu ya utawala, hakukuwa na makazi ya kudumu zaidi ya watu kupita njiakutokana na dhana kuwa juu ya ile milima mirefu waliishi wanyama wakali waporini. Walihofia kuweka makazi bila kutambua kuwa juu ya milima hiyo kunatambarare yenye rutuba inayofaa kwa kilimo, lakini baadaye baadhi ya wapita njiawalidiriki kuishi maeneo hayo na kuwavutia wengine kulowea hali iliyosababishavita vya mara kwa mara. Mapambano hayo yalisababisha muingiliano ulioleta zilesifa potofu kama nilivyobainisha mwanzonikuhusu lugha, miiko na utawala wa kabila hili. Ulitokea pia muingiliano wa uzao,kwa wanawake wa jamii zilizopigwa kuolewa kinguvu na wababe walioshinda hukuwanaume wakigeuzwa wajakazi. Ndiyo maana huwezi kupata wajihi wa aina moja wa Wahehe,kuna wanene na wafupi (wajihi wa Kibantu), warefu wenye maumbile makubwa (wajihiwa Kihabeshi) na wenye rangi angavu (wajihi wa Kiajemi) kutokana na ukoowa Muyinga ambao ni machotara wa Kiafrika, Kiarabu na Waajemi wa kale.
Mhandisi nikisoma maelezo haya naona kama unataka kuniambia Mkwawa ni Mdzungwa au muajemi sijui kama nimekuelwa vizuri hebu niweke sawa hapo ukweli ni upi? ila kabila la wadzungwa sijalisikia TZ ila kuna milima ya Udzungwa ipo Mkoa wa Morogoro.