Hawa wanajeshi ndio mnaotaka waende vitani? Kweli?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Naomba tusiende vitani tutumie njia nyingine kabisa twendeni hata kwenye mahakama za kimataofa ..hawa wengi wao wamefoji vyeti watatuaibisha
. 562678_472635822760420_315558237_n.jpg
 
Aieseeee baba yangu hapo amepiga 2 kiroba je akipiga mbege iliyolala si ataku atakufa kweli
 
Kwa sisi wajeda hii technic huwa tunaitambua na tunaitumia mara nyingi 2.
Ila kwa mahadili ya kazi sitaitaja kwa jina.
 
mi mgeni naomba kuuliza
Eti hawa wanaruhusiwa kulewa wakiwa wamevaa gwanda? (nikiamini akiwa na Gwanda yupo kazini)
Sasa kuna usalama hapo??? najaribu kuwaza akiwa na silaha yake lindoni halafu amelewa
 
Nadhani wanajeshi wamejifunza kulala kwenye usukani kutokana na tabia hii kuwa sugu kwa wabunge na rais wenu. Kwa ufupi ni kwamba taifa letu limelala si wanajeshi si wabunge si wananchi tu bali kila kitu. Ndio maana saa hizi vinchi vidogo vilivyo na idadi kubwa ya watu bila ardhi vilivyotuzunguka vinapambana kwa kila hali kutumia usingizi wetu kufanya muungano ili vipate pa kutupia makapi ya watu wao wasio na ardhi. Malawi wakiwa serious wanaweza kututoa jasho aminini.Ukubuwa wa nchi usiwatishe bali uongozi thabiti, nani alilamini kuwa viinchi vidogo kama Rwanda na Uganda vingeivamia DRC na kuiibia mchana kweupe?
 
Hairuhusiwi hata kuingia baa na nguo za gesi...lakini siku za karibuni nidhamu imedolora. Wapo wengine unaweza kuwakuta wanayumba barabarani wamelewa. Nakumbuka miaka ya 80 wakati tukiwa jeshini mkuu wa kikosi alipigaga marufuku askari kukutwa anakula chungwa barabarani....akisema "sio tu uniform lakini hata umri haukuruhusu kutembea unakula". Likewise, sijui ni kitu gani kinaweza kumfanya mtu kuangusha gari (kubonji/kulala usingizi sehemu public kama hapo:.
mi mgeni naomba kuuliza
Eti hawa wanaruhusiwa kulewa wakiwa wamevaa gwanda? (nikiamini akiwa na Gwanda yupo kazini)
Sasa kuna usalama hapo??? najaribu kuwaza akiwa na silaha yake lindoni halafu amelewa
 
Naomba tusiende vitani tutumie njia nyingine kabisa twendeni hata kwenye mahakama za kimataofa ..hawa wengi wao wamefoji vyeti watatuaibisha
.View attachment 61387

Huyu wakwetu kasinzia na KONYAGI (kiroba)...Weka picha na askari wa MALAWI akiwa na kiroba cha POWER (aina yao ya konyagi) tuone nani anaonekana MCHOVU ZAIDI kabla hatujaamua kwenda VITANI...Kupgianisha WANYWA VIROBA HAWA
 
Kwa sisi wajeda hii technic huwa tunaitambua na tunaitumia mara nyingi 2.
Ila kwa mahadili ya kazi sitaitaja kwa jina.

Mnapoteza muda sana kusikiliza watu wanaongea nini kwa kuchukua nafasi za uchizi na ulevi kama hizi
 
du!sasa wakuu MP sio ndio kifupi cha Millitary Police (yaani Said Mwema wa Jeshini)? sasa ritawezaje kuyaarrest maaskari makorofi jeshini kama renyewe nidhamu ni ZERO?Naliheshimu sana jeshi maana nilikuwa nafundishwa kwamba nyumba ya nidhamu na utii ni jeshini lakini naona kwa hii picha ni kinyume kabisa! HAPA SASA NAPATA MAJIBU SAHIHI YA KWANINI ASKARI WA JWTZ WANAPENDA SANA KUPIGA RAIA. Ikitokea bahati mbaya tu dereva wa daladala akiliguza gari la jeshi askari wote watashuka kichapo mtakachokipata mtafikiri ni mamluki wamekosea njia wakaingia Millitary Barrack ya majeshi ya adui. Huu ni udhaifu na aibu kubwa sana kwa jeshi letu! viongozi chukueni hatua za haraka kwani madhara yake siyo ya haraka kama MGOMO WA MADAKTARI ila ni ya muda mrefu na yasiyorekebika kwa upesi kama MGOMO WA WAALIMU.
 
Back
Top Bottom