Fanya haya na matokeo uta ya pata.
1.Acha vyakula vya wanga mwepesi bali tumia wanga mgumu zilizo chemshwa Mihogo,Magimbi ndizi ( mbichi ),viazi sio vya chips.
2.Achana na vyakula vyote vinavyo tokana na ngano yani chapati,Maandazi,visheti nk
3.Achana na vitu vya Sukari kabisa kama chai,Soda...