Recent content by Magayalunofu

  1. M

    Kozi za Afya 2016/2017, soma hapa

    Ahsante praatt, na je kwa kozi za afya anaweza chaguliwa kutoka na hizo marks zake?
  2. M

    Kozi za Afya 2016/2017, soma hapa

    nina mdogo wangu ana 3 ya 24, ana Biologgy C, Chemistry D, Physics F na Maths F Masomo mengine Eng. C Kisw C Geogr C, History D Civics D; Swali langu je kwa kozi za uuguzi hawezi Kuchaguliwa hata kwa ngazi ya Certificate? halafu kwa vile kombi zimegoma, kuna watu wanasema eti anaweza chaguliwa...
  3. M

    Kosa la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Uwajibikaji wa pamoja

    naungana na wewe, tatizo letu wengi hata hatujui Pengo alitamka nini. Ni kweli Pengo alikubaliana na wenzia ila aliwashauri wenzie kwamba jamani tusiwaamuru watu wapige kura ya HAPANA moja kwa moja tuwaache wasome waelewe kilichoandikwa kisha wafanye maamuzi wao wenyewe, na hayo yalikuwa ni...
  4. M

    Niko njia panda ushaurii wenu tafadhari

    Kwa hiyo ukirudi nyumbani unataka kuolewa tena? ni bora ukafanya maamuzi ya busara kwa kuamua kubadili dini na kufunga ndoa, zaidi ya hapo sijui unachotaka, acha kumsumbua mwenzio wakati mmetoka nae mbali mpaka mmefikia kuzaa!
  5. M

    Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

    so what!!!!! mambulula wengine bhana!!!
  6. M

    Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

    Wewe inaonekana si mstaarabu, yeye hakuwa maharage ya mbeya! kwa nafsi yake ameona ni kweli wewe ndie unaemfaa kwa vile una uvumilivu. Lakini kuleta habari zako za kwamba kakusumbua kwa mtu aliyeelimika ni upumbuvu, unless otherwise utakuwa hujatulia na unapenda sana voda fasta!
  7. M

    Mkurugenzi wa jiji la Arusha umepotoka

    Hii ni kero kubwa sana na inasumbua sana watu wanaoenda makazini asubuhi. inamlazimu mtu kutumia bajeti ya bodaboda wakati uchumi wa serikali umeyumba sasa kwa mtumishi wa chini anayetumia daladala ni shida. Alafu kingine daladala za Arusha hazina tiketi. Magari yakipangiwa bei na sumatra na wao...
  8. M

    Biashara inauzwa kama ilivyo - Arusha

    hiyo gharama mmmhhh!!! mtaji wa maduka 3:A S 109:
  9. M

    Nimefika home kutoka safarini, ananing'ang'aniza tufanye tendo la ndoa bila kinga

    Jaman hayo ni aina ya mahabat, kuna kitu amejifunza, ata kama umetoka safari kwani haiwezekani mka do!! upendweje?? mtu chake bhana. Labda kama hamuaminiani na wote huwa mnachepuka
  10. M

    Kale kaharufu una kaondoaje?

    Suala la kujiswafi ni la kila mmoja wetu ni kweli wanawake wasipojiswafi vzr lazima watoe hiyo harufu lkn kwa msafi hutosikia. Halikadhalika wanaume nao wengi wao hupenda sana wanyonywe bunduki zao lakini unakuta kaosha.bunduki tu pale kati kuanzia korodani kuelekea matakoni wengi hawaswafi vzr...
  11. M

    Dada vipi, usije ghetto kwangu kama hutaki kugegedwa

    Sema huyo hujampenda kiviile ndo maana umeamua kuja kummwaga humu, na pengine unataka kuchezea tu papuchi yake tu ndo maana anakuogopa. Na kama hupendi kampani yake mwambie tu
  12. M

    Jinsi nilivyookoa ndoa ya watu

    Na hasira za wanawake nnavozijua mimi ni kumfukuza housegirl, huenda huyo housegirl keshaanza kunawiri na kashepu kanaonekana na vichuchu vimesimama so jamaa anaweza endelea kufany amawindo apo!!
  13. M

    Leo na mimi niwape dose yenu wadada wa mjini hasa faceebok

    Kwa hiyo na ww mpenzi/mkeo alifumuliwa malinda ndo akapata kazi?
  14. M

    Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

    ulijua kuwa amezaa kwa nini ulimpenda? na baadae mkaanza kukaa pamoja?, elimu sio kigezo labda useme ushakula wee sasa unataka new brand na unaona kama anakubania rizki zingine. unaeza ukamuacha ukapata mwenye elimu lakini pia hana akili ya hiyo elimu yake. lakini huyo ushazoeana nae ni rahisi...
Back
Top Bottom