Aaah, miss chaga! Amini kama unaishi kwa hii dunia, na maisha yako ni mteremko hata hujakutana na kindumbwe ndumbwe, basii bado songombingo lako liko mbele lina kusubiri. Ukichelewa sana kupata vikwazo vya maisha ungali chipukizi.....ndio matokeo ya ufooo-saro, ndo kujinyonga, ndo kunywa sumu, ndo kuuwa mtu...ndio kwenda jela na kusahaulika. KUTOKANA NA VIKWAZO NA VISA vya maisha mchanganyikooo, ndo niko imara hivi sasa. SINA PRESHA.
Basi tu humu kwa sasa nazipekua post za wakuu na kuchangia kama nikivutiwa kufanya ivo. Nikiweka post za visa nilivokutana navyo...vya kimapenz...very interesting, utasema "toba!"...yamenikuta mzee mwenzangu sina changu, cjui nikae chini nilie...kwa visa visa!
Post zangu nikizitoa uzisome....na hakika zitakutafakarisha, na mwisho utasema oouph! Ee Mungu weeeh! HATA IVO NINA IMANI MOYO WAKO NI SUPPER. Xo, hakitaharibika kitu. Stay tuned..next week nitadondosha post moja tutafakari pamoja. Kama vp nitaiweka rasmi hiyo niliyo ichomekea humu...sababu ya kufanana kwake. Asent miss chaga!