Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

Hawa ndiyo wana zuoni wanaodhaniwa kuwa wanaweza kuibadisha dunia?

Back to primitive stage seems better.




Nilizan mmefanya tafit za kimaendeleo kwa miaka saba sasa leo umepata jibu jibu...kumbe ulikuwa unatongoza for seven years ndo umepata positive answer..... sasa kitaaalam kakukatalia miaka saba na ww jibu la siku moja umesahau miaka saba ya kukataliwa....... ehehehe we have a long way to have mind liberation

hahahaaa mazima hayo bro whoever has open mind should +++++
 
aiseee inasikitisha sana mkuu ......jiulize kwann kakubali leo baada ya 7 yrs.....think + na - yake ikishajua endelea na mipango yako
 
aiseee inasikitisha sana mkuu ......jiulize kwann kakubali leo baada ya 7 yrs.....think + na - yake ikishajua endelea na mipango yako

kweli kabisa ...vinginevyo mdau awe alikuwa anaumwa "domozelism" ila kama ana makali ya upanga huyo demu angekuwa ashakatwa kitambo.
 
Mileage ishasogea, hana jinsi! Na atakuganda mpaka utakoma kwa nini uliendelea kumtongoza!
Sasa huyo unapeleka gesti, mvua nguo, unamnyonyesha koni mpaka wadhungu wanatoka, unammezesha au unammwagia usoni, kisha unamwambia, baada ya kukufukuzia miaka saba, sasa nimeridhika!
 
Mileage ishasogea, hana jinsi! Na atakuganda mpaka utakoma kwa nini uliendelea kumtongoza!
Sasa huyo unapeleka gesti, mvua nguo, unamnyonyesha koni mpaka wadhungu wanatoka, unammezesha au unammwagia usoni, kisha unamwambia, baada ya kukufukuzia miaka saba, sasa nimeridhika!

hapa ndo ambapo nashindwa kabisa kuwaelewa!! baada ya hayo yote faida hasa ktk maisha yako ni kitu gani!!!

alikataa kwa sababu alizozijua yeye,
kakubai kwa sababu anazozijua yeye,
why judging hivo!!! akiona kwel anamuhitaji, forget those foolish 7yrs, take it from now on...!!!!
tena hakuna mapenz matam ka mmesumbuanapo kidogo!!!
coz there z time mnakumbushiana kidogo mlivotukanana! mnacheka mnaendelea, mapenz ya helloooo... Yes... hayanog hata
 
Chai.........

wanayokunywaga wajomba na makaka ndani kwan ndani...coz huwa nasikia ndo tabia za wa.arabu ...mtoto anakamuliwa ndani ndani kwa ndani na sio nyinyi wa nje. Sasa sijui ikiwa ni "chai" itakuwa ya asubuhi, mchana, adhuhuri, alasiri au usiku ?
 
Unachekelea ujinga pengine huyo dada mwarabu ana umeme na anataka kukunganisha kwenye gridi ya taifa...hata kama huna ubongo jaribu hata kutumia tumbo kufikiri kwa miaka yote saba aliyokuzungusha umebadilika nini mpaka leo akuone wa maana........THINK BIG......

Ni kweli kbs furaha yake inaenda kumpa majuto
 
Duh miaka saba unamsubiria demu una moyo sana mimi siku moja natong'oza akigoma basi natafuta mwingine.
 
Hata kama nikikushauri umpige chin kabla hujamgonga ninaamini hutoweza ,ninachoamini ni kwamba lazima utamgonga kwanza then mengine yatafuata.
So ushauri ni kwamba AFYA YAKO NI MUHIMU KULIKO KITU CHOCHOTE.
 
Mkuu huyo ukigonga tu na nuksi unaibeba hapohapo, demu akikusumbua muda mrefu achana nae. Unaepushwa nuksi
 
Wewe inaonekana si mstaarabu, yeye hakuwa maharage ya mbeya! kwa nafsi yake ameona ni kweli wewe ndie unaemfaa kwa vile una uvumilivu. Lakini kuleta habari zako za kwamba kakusumbua kwa mtu aliyeelimika ni upumbuvu, unless otherwise utakuwa hujatulia na unapenda sana voda fasta!
 
Mgegede afu mteme kama vp mkuu,mm alinisumbua mwaka mmoja nikaamua kutafyta demu mwingine huku nikiendelea kumtongoza baada ya mwaka akakubali nishamnjunha sana hadi sasa ila too bad hajui kama sina mpango nae na ananipenda kweli cjui hta nianze kumuacha vp maana nina uhakika anaweza kujidhuru cku nikimuacha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom