damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,465
- Thread starter
- #101
Harufu isiyo ya kawaida?
Na kila mmoja ana harufu hiyo?
Au unataka ile iwe odorless?
Ni bora ikosekane kabisa kuliko iwepo ilio pitiliza
Harufu isiyo ya kawaida?
Na kila mmoja ana harufu hiyo?
Au unataka ile iwe odorless?
Mi nakuambia ndugu yangu, yaani usimkute amevua, yaani hadi hewa chumbani ina badilika!
Kinachosababisha kansa hakiko very clear...lakini inadaiwa kuna uwezekano mkubwa ikawa ni chemicals...kwa hiyo watu wana connect wingi wa cases na tabia ya watu wa sehemu hiyo...
Mfano Wazambia wanaongoza kuosha K duniani na wanaongoza kwa kansa ya huko kwa bibi (niliisoma hii kwenye internet)...
Huyo bidada alikuwa mwembambaaa!! Nikiona wa ivo ile kitu inanijia. My woman is a no one lyk her!!!
Jamani, mbona leo mmewakamia hao wamama? Kama ulikutana na mgonjwa mwenye tatizo na labda hajijui ndo uje humu jf na ku generalize kuwa kila papuchi ina harufu tena ya kumaliza hewa ndani ya chumba??? Watoto tutawatafutia vichakani tena siku kuna upepo? Ninaweza sema sijui kabila sijaonja Tz si kuwa najivuna kwani ningeanzisha uzi wangu wa wapuuzi ila mbona sijakutana na dizaini hiyo??? Ukimchukia mtu banaa na haswa aliyekupiga kibuti utamzulia mengi.
Wazo mbadala, Tafuta aina tofauti na kutoka nyanda tofauti mkuu. Huenda unatungua wale miserembuo. Sisi tuliooa tungenunua vishada vya kuvaa puani na feni zingemalizika madukani basi.
Naamini kama ni Kansa lazima kwa kiasi kukibwa inaweza kuwa inasababishwa na vitu vinavyo tumiwa kusafisha huko!
Hako kaharufu kananukiaje?
viazi mbatata
100% hulka ya kike !
niwahi kusema humu wakanishambulia sana. ile harufu kwa yule mwanamke cjui ni ya kitu gani aisee nilichoka baada ya 1st round tu. sikutaka kuendelea tena. alafu amejikaushaaaa nikajiuliza hivi hii harufu inamaana haisikii ama anazuga tu. ha ha ha
viazi mbatata