Jinsi nilivyookoa ndoa ya watu

Jinsi nilivyookoa ndoa ya watu

mmmmh ndoa zingine jamani, ila kwa jinsi mimi nilivyo hiyo kesi isingeisha kirahisi hivyo mshukuru huyo mwanamke ni mwepesi wa kuachilia
 
Na hasira za wanawake nnavozijua mimi ni kumfukuza housegirl, huenda huyo housegirl keshaanza kunawiri na kashepu kanaonekana na vichuchu vimesimama so jamaa anaweza endelea kufany amawindo apo!!
 
utakuwa umefanya nini kama huyu mke akasoma habari hizo humu ndani ya jamiii forum kwmba ilikuwa kweli na kujua kuwa wewe ulikuwa unalimda rafiki yako na unamfichia sirik?umbuka kwamba huu ni mtana wa kijamii sidhani kama ni vema ku expose mambo binafsi hasa ya watu/mtu wngine.
 
ha ha ha ha haa jamani duh mumeo mzee wa chabo uwiii..... kunywa wine tu aisee... mkuu house girl ni chombo?
 
Uli tumia hekima sana mkuu sasa huyo house girl bado yupo au wame mfukuza?
 
Back
Top Bottom