Recent content by MAGAMBA KILLER

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Naomba tuwasiliane mimi nahitaji kufuga kuku ila naanza kimaskini maana mtaji wangu hauwezi kuzidi laki5 njoo inbox tuseme zaidi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Nape Nnauye kuhusu suala la Makonda

    Vyeti vepeeeeee????
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kutongoza imekuwa ni kwa wanaume pekee?

    Anza na mm uje unipige sound
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa dawa hii

    Good
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye awakaanga Magufuli na mkuu wa mkoa wa Dar

    Nchi hii imefika pabaya sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Mgeni Rasmi siku ya Wanawake Duniani

    Aminaaaaaaaa.......................
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Mgeni Rasmi siku ya Wanawake Duniani

    Kapotelea wapi tena na wakati leo alipaswa kuwepo kwenye kilele cha maadhimisho ya mama zetu duniani???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Mgeni Rasmi siku ya Wanawake Duniani

    Amefika huko??????
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Maige anawatesa kikatili wananchi wa kijiji cha Ilogi

    Huyu mzee kweli yasemwayo hapo juu yaweza kuwa yana ukweli kwa maaana ana utemi flani ambao kama si mshirikina huwezi thubutu. Hii ya kkuwa yuko na Maige kibiashara hili nadhani kuna hhaja ya kulifanyia kazi kwa maana haiwezekani akabisa kuwa na nguvu kiasi hicho mpaka hata vyombo vya dola...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namna gani hapa UKAWA wanapata penati!

    Hilo liko wazi kabisa mpaka sasa. Hata wao ccm hasa Team Lowasa inalifaham hilo kuwa nchi inachukuliwa na UKAWA.
  11. M

    JamiiForums Tanzania No Money, No job in Acacia Gold Mine

    Hii kweli ni Kali ndani ya Bulyanhulu. Hivi Luna migodi mingapi hapa Tanzania mpaka uthajwe mgodi wa Bulyanhulu peke yake? Hapo kuna ukweli ndani take japo Magunila na Magovongo hawapo mgodini ila Luna virus engine wapo inabidi uongozi was mgodi na Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ifanye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA John Nyerere afariki dunia

    R.I.P JOHN NYERERE. Poleni sana familia yote ya hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Mimi nadhani ingekuwa vyema kwa wabunge tuliowachagua sisi wangejikita kutetea wananchi waweze kupata habari na pia kuelimika kwa maana ukuizingatia mambo mengi sana siku hizi tunayapata kupitia mitandao mbailimbail ya kijamii na kama wameamua kubana huko nashindwa kupata jibu tutalimbilia wapi...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini wanawake mwalimu wao ni marehemu

    wewe na yeye wote ni mazuzu mlikutana bila kujua..........................
Back
Top Bottom