Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Jamani nilikuwa nampa mshahara wote anapanga yeye, lakini alikuwa akikasirika hapiki cku3,4 hadi 5 na hela nimempa. alikuwa wakati mwingne hadi ananipiga lkn mm simrudishii, alinionea sana kwa sababu ya wokovu wangu.
Sasa akalewa si akajua wanaume wote wapo hivyo siku akadanganywa na jamaa kuwa hana mke wakati ana famlia akaondoka nyumbani akapangiwa chumba.
Lakini cha ajabu toka amepangiwa chumba jamaa hajawahi kulala hapo maana ana mke. lakini yeye hajiulizi aaaah. leo anajuta amekuwa kama "kifuu cha nazi" na mimi nimemwambia "siwezi kushona tambala la kupigia deki"; amekwisha olewa mara 2 ameshindwa na anashindwa kuniingia anaogopa Wokovu wangu.