Namna gani hapa UKAWA wanapata penati!

Namna gani hapa UKAWA wanapata penati!

Magufuli ni janga jingine kwa watanzania,nje ya nchi sana sana anajuana na ODINGA.

Hatutaki safari za kujitambulisha nje ya nchi..

Ikulu haina maamuzi ya haraka haraka kama TANROAD.
Naiona serikali yenye vitisho kwa jamii ya chini,yenye kigugumizi tena katika kupambana na ufisadi,yenye majigambo yasiyo na tija,yenye kuogopa untouchable fisadi figures kama zile za kule Bariadi na hasa ukizingatia huu msemo huko ''Owa Kaya"hivyo Watanzania tujiandae tena na miaka kumi mingine ya Maangaiko kama tutamchagua JPM.
 
Wakuu salama
Wapinzani jipangeni chukueni nchi,haijawahi tokea popote duniani wapinzani wakachukuwa nchi kirahisi kama mwka huu kuna mikoa tayari kadi za chama cha mapinduzi zimeanza kuchanwa chanwa
 
Wadau

John Joseph Magufuli,haja_experience ktk diplomacy economic kama LOWASSA na MEMBE..kuna kazi ya ziada mbele ya UKAWA ktk kampeni.

Magufuli alipotolewa ktk wizara ya ujenzi hakusikika tena mpaka aliporejeshwa tena..ana uzoefu wa kazi za field zenye kuhitaji mihemko,urais hataweza kwani ni mtu wa casual works.

Kazi imekuwa rahisi kwa UKAWA kwani watakutana na wananchi wenye ghadhabu wanaomuulizia mtu wao ambaye ni EL,tayari kuna taharuki kote nchini ambayo ikitumika na upinzani matarajio ya ccm itakuwa ZERO.

Arusha tayari maeneo mengi bendera za ccm zimeshushwa baada ya 'mtu wao' kukatwa.

Hebu fikiria team ya kampeni ya UKAWA..Mbowe na Makaidi tuwakabidhi kusini,nyanda za juu mpaka Moro,Mbatia tumpeleke Magharibi,Lipumba apige Pwani,wote wawaulize wananchi MTU WENU YUPO WAPI kama propaganda,itawarahisishia kazi.

Hali ya ccm imekuwa mbaya zaidi,hii ni baada ya kumwachia EL kujijenga na hakika itawagharimu na Magufuli wao anayetaka kushinda na kuanza safari za kwenda KUJITAMBULISHA NJE
Mkuu CCM waliingia Dodoma wakiwa vipandevipande ila wanatoka huko wakiwa kitu kimoja. Magufuli anakubalika kotekote. Na Lowassa atasimama na kusema amevunja kundi lake na sasa ni kundi moja la CCM.

Mbona alipokuwa ardhi alisikika akanda kwenye vitoweo pia akasikika vyema kwa utendaji kazi wake. UKAWA watagawana jamvi kwa kuwa matumaini ya ushindi hakuna. Walitegemea CCM isimamishe mgombea dhaifu ili washinde na kugawana madaraka, sasa chances za kugawana madaraka hakuna hivyo wataangalia Ruzuku kwa kusimamisha mgombea kila chama. Tupo hapa na time is about to tell all.
 
Huo ndio ukweli lkn sasa naona mwisho wake umetimia

hoo...❕❕❕ Linda kura yako katika mtaaa Wako, we shanga shangaa tu muhamasishe na rafiki yako na ndugu zako hata mbibi mzee kujiandikisha Ni lazima na kupiga kura kwa UKawa ni lazima, tuzilinde fisadi asipate mwaya Wa kuziiba, waliba fedha nyingi itakuwa kura tu❕❕❕ Tuwe makini katika kulitetea taifa la kesho
 
Huu ni umalaya wa kisiasa. Huna msimamo. Hajui ushike lipi uache lipi. Hivi Kwanini lakini??
 
Hilo liko wazi kabisa mpaka sasa. Hata wao ccm hasa Team Lowasa inalifaham hilo kuwa nchi inachukuliwa na UKAWA.
 
Magufuli ni janga jingine kwa watanzania,nje ya nchi sana sana anajuana na ODINGA.

Hatutaki safari za kujitambulisha nje ya nchi..

Ikulu haina maamuzi ya haraka haraka kama TANROAD.

Ikulu ni taasisi mkuu. Hatuchagui balozi ama waziri wa mambo ya nje, tunachagua Rais ambaye atamteua waziri wa mambo ya nje. Mbona kuna Marais wengi tu walichaguliwa bila kujua mambo ya nje lakini nchi zao zikasonga bila shida. Tunahitaji utendaji uliotukuka.
 
Bado kazi ni ngumu sana kwa ukawa. Angekuwa Membe au mmoja kati ya hao wamama wawili ingekuwa rahisi kama kumsukuma mlevi. Ukawa wajipange kuleta ushindani zaidi bungeni!
 
CCM hata wangemsimamisha Mzee Majuto bado wangeshinda tu achilia mbali Dr.Magufuli.

Unawaongelea UKAWA wenyewe kwa wenyewe hawapatani kila mmoja anataka kuwa mgombea.

Unadhani CUF na NCCR Mageuzi watakubali kuburuzwa na Chadema wabunge wengi watoke Chadema na bado wapewe mgombea urais.
 
Mikoa ipi hiyo itaje
mikoa ya Arusha, kilimanjaro, mayara wameapa kulipiza kisasi kwa ccm. labda kama lowasa anapita ktk kampeni kuwapoza moyo na kuwabadilisha mioyo, la sivyo, mikoa hiyo yote ni mali ya ukawa.
 
Ukiona nchi inaongozwa miaka 50 na chama kimoja, hiyo ni nchi ya wajinga.

he he he heeeee......ni kweli ila tushaelimika sasa, fisadi hana mpiya. Naomba mnishawishi kwa mazuri ya fisadi plz
 
Kikwete kama messi ile chenga aliyopiga kaacha wote chini, walifanya kumuweka membe makusudi ili mishipa iwatoke kumtoa membe huku chaguo lao magufuli akipita bila ya kundi lolote kushtuka.
Bravo kikwete u r the master of the game
 
Back
Top Bottom