Naomba ufafanuzi wa dawa hii

Naomba ufafanuzi wa dawa hii

Nimeisoma Mtandaoni nikakutana na maelezo haya, inaonekana ni kwa ajili ya kusaidia kukua kwa seli za neva za mtoto tumboni au maendeleo ya kichanga kwa ujumla tumboni

=================================
NeurotonlBl is a special combination of vitamins BI, B2, B6, BI2 and folic acid which are essential neurotropic factors. Vitamin 6-Complex consists of water soluble vitamins that are not significantly stored by the body; excess quantities are excreted in urine. They play a vital role as coenzymes in the conversion of carbohydrates, protein, and fat into energy largely needed by the nervous tissue.
itamm 6T l1as a very important role Intfie transmission of nerve impulses through nerve membranes. Severe deficiency of vitamin B 1 leads to peripheral neuritis and polyneuritis. Vitamin B2 enhances energy production. Symptoms of its deficiency
are mainly cheilosis, glossitis and scaly dermatitis. Vitamin B6 promotes red-blood-cell formation; and its deficiency leads to peripheral neuritis and anorexia. It is also needed for the nervous system, and normal brain function. Vitamin BI2 is essential for the function of all cells especially those of the central nervous system, bone marrow and the gastrointestinal. It is important in nucleic acid and folic acid metabolism. Its deficiency leads to severe central and peripheral nervous system affections and pernicious anemia.
Folic acid is needed for the formation of red blood cells and the proper formation and function of white blood cells. It is important for healthy cell division and replication because it is a coenzyme in DNA and RNA synthesis. It is also very important during pregnancy, as it helps regulate embryonic and fetal nerve cell formation. Deficiency of vitamin BI2 and/or folic acid leads to megaloblastic anemia
Good
 
Mimi ni mjamzito nimepewa dawa hii hosp sasa sijawah hata kuiona wala kuitumia je ni ya kazi ganiView attachment 484318
Ni dawa salama tu,Kiasi kikubwa ni muunganisho wa vitamini b,"vitamin B complex" pamoja na folic acid,Vitamin B complex ni dawa ambazo huyeyuka kwa urahisi mwilini " water soluble vitamins",kiasi ambacho mwili inakihitaji hutumika na kisichohitajika hutolewa kwa njia ya mkojo.
Ni dawa nzuri kwa matibabu ya maumivu yanayohusiana na mifumo ya fahamu"neurological pain" pamoja na shida ya kupata ganzi au kuwa na hisia ya miguu kuwaka moto."peripheral neuropathy" Mchoro walioutumia kwenye kasha lao unawakilisha mshipa wa fahamu "neurone" nahisi likuwa ni ubunifu wa lebo ya bidhaa yao.
Kama yote hayo niliyoyataja hauna nahisi labda kiwango chako cha damu kiko chini,na hapo manufaa makubwa unayapata kwenye folic asidi ambayo imo ndani ya hizo tembe,husaidia kwenye utengenezwaji wa chembe nyekundu za damu pamoja na utendaji kazi mzuri wa chembe nyeupe za damu "white blood ceels."
Kwa ujumla wake hii dawa ni nzuri kipindi cha ujauzito maana inasaidia na kurekebisha taratibu za ukuaji wa "kijusi /kichanga" tumboni pamoja na maeendeleo mazuri ya mifumo yake ya fahamu.
Kumbuka pia ukuaji wa kondo "placenta" huitaji kiasi kikubwa cha madini chuma "iron" hivyo mama mjamzito unaweza kupata upungufu wa damu unao sababishwa na upungufu wa madini chuma.Hii husababisha mama kupata hamu za ajabu ajabu za chakula "pica" mfano kula mkaa,udongo ,mchele ,hata kuchoka pia.nk.
Acha niishie hapa wataalamu zaidi wataongeza ila kwa elimu yangu ndogo nasema dawa ni salama kwa kiumbe tarajiwa na kwa afya ya mama..
 
Asanteeeeee saaaana jmn maaana nilipata woga wengine wanasema ni dawa ya brain injury.mwingine alisema alipewa kwa ajili ya sikio.....umenitia moyo ubarikiwe saana
 
Aiseeeee enhee
Nna tatizo la sikio la kulia halisikii kabisa,nikawa nimepewa rufaa kwenda bugando.Nikaonana na docter bingwa wa masikio,akalichunguza akaniandikia hivi vidonge 60 kila siku kimoja.nilitumia lakini sikupata nafuu mpaka Leo.
 
Hahahahahahahaha
 
Mimi niliwahi kupewa dawa hii kwa matibabu ya Rheumatoid(romatizim)
 
Ni dawa ambayo inatumika more specifically kwa ajili ya watu wenye matatizo ya maumivu ambayo hayana sababu iliyo direct., hivyo huwa tunaishia kusema ni maumivu yanayosababishwa na matatizo kwenye mishipa ya fahamu/nerves zenyewe directly.., hivyo kinachofanyika ni kutoa dawa ambayo inasaidia hizo nerves kujijenga vizuri kama kuna mahali hapako sawa.., tukiamini kuwa kama tatizo liko kwenye mishipa ya fahamu litaisha ndani ya muda fulani wa kutumia hiyo dawa..,mara nyingi hili tatizo huwapata watu wenye BP.., mwili huwaka moto kwa sababu BP huweza kusababisha nerves kukosa chakula/nutrients kutokana na mgandamizo mkubwa wa damu kisha nerves zinaanza kulika hivyo kupelekea hayo maumivu.., ambayo yanaweza kusababishwa na kitu chochote kinachoweza kuathiri nerves kwa namna moja ama nyingine...!!!)))
Ni dawa salama kwa mjamzito kwa jinsi nijuavyo na vitu vingine vingi ambavyo ni vizuri katika ukuaji na utengenezaji wa mfumo wa ufahamu wa mtoto tumboni...!!!)))
USHAURI
1)Iwe mjamzito au la.., tujenge tabia ya kuulizia kila aina ya dawa tunayopewa inatumika kwa ajili ya nini.., inatumikaje.., madhara yake kama yapo au la.., hii ni haki yako kama mteja/mgonjwa kufahamishwa kwa ufasaha na yule aliyekuandikia dawa na anayekukabidhi dawa dukani...!!!)))
2)Kwakuwa wewe ni mjamzito.., ni bora uwe unaonana na Gynecologist/Daktari wa magonjwa ya kina mama (ie Specialist) kwa usalama zaidi...!!!)))
NB
I am not a Gynecologist by professional.., nadhani wakipitia huu uzi wanaweza kukupa info nzuri na za uhakika zaidi by speciality...!!!)))
Am sorry that I couldn't make it much shorter...!!!)))
 
Dawa hii nimepewa na dactari wa magojwa ya wanawake baada ya kumwambia kuwa kichwa kinauma kinakuwa kama kinakaza pia macho sioni vizuri na miguu inachoka kwenye magoti
 
Asanteeeeee saaaana jmn maaana nilipata woga wengine wanasema ni dawa ya brain injury.mwingine alisema alipewa kwa ajili ya sikio.....umenitia moyo ubarikiwe saana
Amina mama..ndo jamii forum,wengine wanatamani malaika ashuke aifutilie mbali hii mitandao
 
Nna tatizo la sikio la kulia halisikii kabisa,nikawa nimepewa rufaa kwenda bugando.Nikaonana na docter bingwa wa masikio,akalichunguza akaniandikia hivi vidonge 60 kila siku kimoja.nilitumia lakini sikupata nafuu mpaka Leo.
Balagashia yawezekana Daktari Ali target kukusaidia kama management ya neurological pain,nikiwa na maana maumivu unayapata ikiwa kuna shida kwenye mishipa ya fahamu,otherwise usichoke wakati mwingine matitabu ni kama safari ndefu kama hujapona hujafika so don't despair rudi tena hospital.
 
Dawa ya Stroke au kama umepata brain injury. Una shida gani mpaka upewe dawa hiyo? Hupati usingizi?
Don't jump into conclusions mkuu, kweli hutumika kusaidia wagonjwa wa stroke, lkn kusema ni dawa ya stroke si sahihi, usije ukampotosha mtumiaji, ina matumizi mengi. Watumiaji pia tunapoandikiwa dawa kwa nn tunamuacha daktari aliyekuandikia dawa tunakuja kuuliza humu? Sisi hatujui unaumwa nn, hatuwezi kukupima, kati yetu wapo wasio na ujuzi wa dawa na magonjwa, unategemea nn?
 
Ni dawa ambayo inatumika more specifically kwa ajili ya watu wenye matatizo ya maumivu ambayo hayana sababu iliyo direct., hivyo huwa tunaishia kusema ni maumivu yanayosababishwa na matatizo kwenye mishipa ya fahamu/nerves zenyewe directly.., hivyo kinachofanyika ni kutoa dawa ambayo inasaidia hizo nerves kujijenga vizuri kama kuna mahali hapako sawa.., tukiamini kuwa kama tatizo liko kwenye mishipa ya fahamu litaisha ndani ya muda fulani wa kutumia hiyo dawa..,mara nyingi hili tatizo huwapata watu wenye BP.., mwili huwaka moto kwa sababu BP huweza kusababisha nerves kukosa chakula/nutrients kutokana na mgandamizo mkubwa wa damu kisha nerves zinaanza kulika hivyo kupelekea hayo maumivu.., ambayo yanaweza kusababishwa na kitu chochote kinachoweza kuathiri nerves kwa namna moja ama nyingine...!!!)))
Ni dawa salama kwa mjamzito kwa jinsi nijuavyo na vitu vingine vingi ambavyo ni vizuri katika ukuaji na utengenezaji wa mfumo wa ufahamu wa mtoto tumboni...!!!)))
USHAURI
1)Iwe mjamzito au la.., tujenge tabia ya kuulizia kila aina ya dawa tunayopewa inatumika kwa ajili ya nini.., inatumikaje.., madhara yake kama yapo au la.., hii ni haki yako kama mteja/mgonjwa kufahamishwa kwa ufasaha na yule aliyekuandikia dawa na anayekukabidhi dawa dukani...!!!)))
2)Kwakuwa wewe ni mjamzito.., ni bora uwe unaonana na Gynecologist/Daktari wa magonjwa ya kina mama (ie Specialist) kwa usalama zaidi...!!!)))
NB
I am not a Gynecologist by professional.., nadhani wakipitia huu uzi wanaweza kukupa info nzuri na za uhakika zaidi by speciality...!!!)))
Am sorry that I couldn't make it much shorter...!!!)))
Mkuu ushauri wako ni mzuri sana ,ila kwa hali halisi ya sekta ya afya mwananchi anayeishi kizalendo kumuona daktari bingwa Wa magonjwa ya kina mama ni ngumu sana.Na vilevile kwa primary health care facilities hawa wataalamu hawapo kabisa.Ushauri mwepesi ni kuanza clinic mapema na kuhudhuria ipasavyo ili pale dalili hatarishi zinapojitokeza uweze kupatana ushauri na Hata matibabu kwa wakati.
 
Don't jump into conclusions mkuu, kweli hutumika kusaidia wagonjwa wa stroke, lkn kusema ni dawa ya stroke si sahihi, usije ukampotosha mtumiaji, ina matumizi mengi. Watumiaji pia tunapoandikiwa dawa kwa nn tunamuacha daktari aliyekuandikia dawa tunakuja kuuliza humu? Sisi hatujui unaumwa nn, hatuwezi kukupima, kati yetu wapo wasio na ujuzi wa dawa na magonjwa, unategemea nn?
Am not concluding anything, labda kama kiingereza kinatusumbua kama kinavyomsumua nanii. Mimi nimeyaelezea ninayoyafahamu kuhusu hiyo dawa na neno langu si sheria.

Nikukumbushe pia, aliyeleta hilo swali hapa hiyo dawa kaandikiwa na daktari, lakini still ana mashaka ndio maana kaomba ufahamu zaidi. Wasi wasi ndio akili mdogo wangu, huko hospitali si kila mtu kakamilika. Kama leo nchi iko kwenye mjadala wa fa fa fa na limedhihirika jambo, wewe utakuwa na imani na watu ambao si wewe uliwaweka hapo hospitali?

Nikukumbushe pia, hapa JF kuna MADAKTARI tena ambao hawajafoji vyeti. Hata wewe ukiwa na tatizo, lete JF Doctor, utapata ushauri bureeee japo uwe mvumilivu sababu kwenye msafara wa mamba, na kenge tupo
 
Nakunukuu, 'Dawa ya stroke au brain injury...' hapa ndipo nilikuwa nasema ni false conclusion... Sikuwa na maana mbaya kabisa. Ukiangalia hiyo dawa ni vitamini B kwa aina zake na vitamin C. Kama Unaifahamu stroke vizuri huwezi kusema hivyo. Nafuatilia JF doctor kwa ukaribu, sio kila kitu kinatibika bila kumuona mgonjwa, na pia si vizuri kutibu mgonjwa wa daktari mwenzako bila kumconsult. Nafikiri utakuwa umenielewa
 
Nna tatizo la sikio la kulia halisikii kabisa,nikawa nimepewa rufaa kwenda bugando.Nikaonana na docter bingwa wa masikio,akalichunguza akaniandikia hivi vidonge 60 kila siku kimoja.nilitumia lakini sikupata nafuu mpaka Leo.

Pole sana
 
Back
Top Bottom