No Money, No job in Acacia Gold Mine

No Money, No job in Acacia Gold Mine

rushwa tupu!
rushwa tupu!

Nina mjomba wangu yupo tanga, amesomea medical attendant yupo kituo cha afya cha serikali tanga mjini kwa kujitolea takriban mwaka mmoja na nusu umekwisha, ameambiwa na mkuu Wa kituo amemwambia atafute 1,000,000 ndani ya masaa 24 atakua amepata kazi, mwenzake wanaofanya wote tayari ameshafanya hivyo na tayari amekula ajira
 
rushwa tupu!
rushwa tupu!

Nina mjomba wangu yupo tanga, amesomea medical attendant kama sijakosea yupo kituo cha afya cha serikali tanga mjini kwa kujitolea takriban mwaka mmoja na nusu umekwisha, ameambiwa na mkuu Wa kituo amemwambia atafute 1,000,000 ndani ya masaa 24 atakua amepata kazi, mwenzake wanaofanya wote tayari ameshafanya hivyo na tayari amekula ajira
 
Hii kweli ni Kali ndani ya Bulyanhulu. Hivi Luna migodi mingapi hapa Tanzania mpaka uthajwe mgodi wa Bulyanhulu peke yake?
Hapo kuna ukweli ndani take japo Magunila na Magovongo hawapo mgodini ila Luna virus engine wapo inabidi uongozi was mgodi na Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ifanye kazi yake hapo ili pawe safi kama migodi mingine. Why Bully tu?
 
Naombeni no za hao watu,nitoe hiyo one million,kwan mdogo wangu hana kazi,mpaka sasa ni mwaka wa 2! Ukitaka kula lazima uliwe kidogo.... "Jakaya Mrisho Kikwete"
 
Acacia hata hapa masaki makao makuu kuna rushwa kwani wamejaa sana wapare na iringa? Sababu mabosi ni watu wa kutoka pande hizo. Bulyanhulu hii ni cancer kuna enzi za kina Chaps, Mfikirwa. Ndg Mohd Abdul waeleze kwamba migodi mingine kama NorthMara, Buzwagi rshwa ni order of the day no chambichambi no ajira labda uwe na papuchi.Kuna binti mmoja alikuwa hakusoma wala vyeti hana sababu tu ana matako makubwa alipendelewa mpaka kuwa snr HR officer hapo Bulyanhulu nasikia siku hizi ni HR manager kwenye taasisi ya fedha hiyo yote ilikuwa ni rushwa ya ngono.
 
Back
Top Bottom