The retired soldier
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 104
- 218
Jana kazi uliyofanya ni kubwa sana. Kazi ya kulaani na kusema uvamizi ule ni najisi pamoja na kuunda Tume ya uchunguzi ni jambo kubwa sana. Nimesikia ulivyohojiwa na BBC umesema wewe siyo mamlaka ya nidhamu kwa RC. Pamoja na kwamba unafanya wajibu wako km Wazir mwenye dhamana hiyo. majibu mazuri sana hayo yanatoka kwako..
Nape licha ya ukali wa bwana yule .. but umejitoa mhanga kupambania haki ya habari ikiwa sambasamba ya kumuanika utoto wa dogo aliyekuja mjini na gari la mkaa.
Ushauri

Mhe: nimeona ushauri wa watu wengi eti wanakutaka ujiuzulu. Mimi NASEMA HAPANA. USIJIUZULU NAPE. kwanza unajiuzulu kwanini?? Yule dogo kavamia media house, wewe kama waziri umelaani na kuunda tume. wajibu wako km Taifa tumeona. Ungekuwa bubu km yule mwenye dhamana ya mapolisi tungelalamika.
Nape usijiuzulu kabsa..uwepo wako kwenye baraza la mawaziri ni mzuri ni vyema sana kwa Taifa. bora wewe ambaye siyo muoga uwepo humo kulikoni wabakie ndiyo mzee peke yao itakuwa balaa. Wajibu wako umetimiza: mengine ni kusubilia bosi wako anasemaje: asipomtumbua itakuwa udhaifu wake.
Nape yule dogo kaja mjini na gari la mkaa kwahiyo ulimbukeni kama huo hatushangai:
ushauri wa mwisho:
leo Nape tunakuita shujaa wetu regardless vyama vyetu kwa maamuzi mazuri uliyoyafanya, but hilo pia halifuti udhaifu wako wa kukubali bunge live liondoke kisa kufata maelekezo ya mkubwa yule pale ulituudhi sana.
Nape setting standard kwa huyu Jamaa..Juzi kawaweka wabunge wa wapinzani mahabusu na jela, jana kawaweka mahabusu wabunge wa chama chenu..kesho na kesho kutwa jiandaeni na nyinyi mawaziri mtakao mpinga kwenda mahabusu. jamaa nabidi adhibitiwe kabla ijawa too late:
JK hizo cheche ndiyo hizi ulizosema au:
Tatizo dogo kaja mjini na gari mkaa.. UKIKOSA MALEZI BORA UNAKUWA KITUKO TU.
BADO TUNATAKA CHETI.