Recent content by Mafunguo 88

  1. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    huhuhuhuhuhuhuhuhuhu ukishangaa ya kailuli utayaona ya mkuchika
  2. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mabeyo awataka wananchi kutulia wakati vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi yake

    Lazima tushangae zaidi mkuu kwani kibiti serikali ilihisiwa kuyafanya yale matukio? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania SWALI: Unaweza kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye UKIMWI na asikuambukize?

    Mimi nasemajee, kutumia kinga ni salama zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania SWALI: Unaweza kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye UKIMWI na asikuambukize?

    Hasa wanawake mimi ni mhanga wa hiyo kitu ila namshukuru Mungu niko salama ila yule dada alidhamilia kuniambukiza kabisaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania SWALI: Unaweza kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye UKIMWI na asikuambukize?

    Bado haisaidii in early period mtu akiwa ktk window period virus havionekan ila anaweza ambukiza wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

    Tuambie wewe unamiliki nn Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Taja Jina zuri Kwa mtoto

    Makinikia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Wiki ijayo Jamhuri itasali kanisani tena au leo ni msikitini??

    Huhuhuhuhuhuhu Hatabiliki Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Hhhhhhhh wamsubir JPM akienda Kenya kwenye sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyata waikamate na ndege ya Raisi ipigwe mnada tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

    Duuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

    hhhhhhhhh siasa za siasa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Hahahaha Eti kuna mbunge alisema mimi nimemtukana mkuu, Mungu atanijibia nakushitak kwa alie juu, Lini na kwanini nimtukane mjomba, Wewe amekupa gari la wagonjwa, mimi Tanga kanijengea Bomba hhhhhh nahisi litakua lile la mseven Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Hhhhh mzee alisema haogopi kesi za kushtakiwa na wezi wakimshitaki tuu atawatumbua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Shafii Dauda atiwa mbaroni na Takukuru Mwanza!

    Star tv si wamefungiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mafunguo 88

    JamiiForums Tanzania Ujambazi Unaofanywa Na Polisi Tarime !

    Sio Tarime Tuu huku Tabora wanaua kabisa unapo kataa kutii wanachokitaka polisi Mungu anawaona Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom