Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,500
- 7,104
Kwani Acacia Plc walikuwa na mkataba wa miaka mingapi?Hajaanza kukurupuka leo, kuna mifano mingi tu, mmojawapo ni ile meli ya samaki. Hakuna anaepinga kwamba ana nia njema, tatizo ni njia anazotumia ndio zinazokuja kuleta hasara kwa taifa. Anatakiwa aacha kukurupuka.
Naomba unisome vizuri, sipingi nia yake njema, bali napinga njia anatumia.
Tuendelee kusubiri, muda utaongea.