mbona kama umenigusa maana me kukaa mjini naona ni shida sana, napenda kukaa sehemu zenye utulivu na ukijani mwingi na ata kama ni nyumba napenda kupanda mboga mboga ilimradi tu kuwe na ukijani na hivi na palni nihamie shamba nikkafuge huko na kulima. ndivyo nnavyopenda huku mjini hapana.
nasikia mtaani wanasema et kama mtu alisoma degree ni ngumu kupata yote ataanza na 33.3% kwa miezi 6.
mimi nilienda kufungua madai nikaambiwa nisubiri siku 90 alafu ndiyo niende kufungua madai, je nikienda fungua madai nitapewa pesa yangu yote au itakuwa ndiyo hiyo 33.3% na mimi nana uhitaji...
Mimi chimbuko langu ni Tarime ila sijawahi kwenda huko ila baba yupo pwani na ndugu wengine wengi wanaishi dar es salaam.
Natamani sana nifike Tarime nikaone kaburi la babu yangu na ndugu zake wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.