Ndo wajuvi mumpe mwongozo sasa
OkPwani inamezwa na dar
Sawa mkuuKibaha
Usiniulize sababu maana mi nipo tukuyu.
Nimechukua hapo kiwanja juzi nyuma ya stendi mpya karibu kabsa na mnadani 4mKaribu Chalinze
Cha ukubwa gan kwahyo beiNimechukua hapo kiwanja juzi nyuma ya stendi mpya karibu kabsa na mnadani 4m
Chalinze ni pazur aisee
25x25 fimboCha ukubwa gan kwahyo bei
Ok25x25 fimbo
Umehongwa mtoto mshenzi kweli wapemba washakuharibu25x25 fimbo
Unazan kila mtu humu ni hoehae kama uko kwenye ukoo wenu? Au tukiwa tunawajibu hapa jf mnaona tunaringana sindio?Umehongwa mtoto mshenzi kweli wapemba washakuharibu
mukiwa munajibu wewee na nani Yondo? Sheikh Saleh alikuharibu weweUnazan kila mtu humu ni hoehae kama uko kwenye ukoo wenu? Au tukiwa tunawajibu hapa jf mnaona tunaringana sindio?
Sasa kama Kibaha kuna fujo na kule Kilwa Road tusemaje?Njia ya kibaha huko fujo nyingi kama unapenda sehemu iliyochangamka huko patakufaa.
Ndo pastor wako alivyokuambia?mukiwa munajibu wewee na nani Yondo? Sheikh Saleh alikuharibu wewe
Shida dogo tamaa zilikuponzaNdo pastor wako alivyokuambia?
Kilwa roadTuseme mtu anataka kununua kiwanja
Lakini hajui achague viwanja vilivyopo kati ya Bagamoyo Road vs Morogoro Road, utamwambia aende wapi?
Kibaha au Bagamoyo?
Ni sehemu gani itakuwa na thamani na imechangamka zaidi ndani ya miaka 5?
Kule alikojenga Dr chenza.... kasomba heka 100+Nendeni mkajaribu na Ikwiriri - Rufiji after 5yrs unakuwa boss