OMKEIT 93
JF-Expert Member
- May 12, 2026
- 226
- 323
Moja kwa moja kwenye mada,
Kama wewe ni kijana unayejitafuta na unatafuta biashara ya kuanza kwa mtaji unaoweza kuimudu, biashara ya vifaa vya baiskeli inaweza kuwa fursa nzuri sana — hasa kwa vijana wa mikoani.
Kwenye maeneo mengi ya mikoani, baiskeli si kwa matumizi ya burudani tu bali ni usafiri wa kila siku kwenda shambani, sokoni, kazini na kwenye shughuli mbalimbali za maisha. Hapo ndipo mahitaji ya vifaa vya baiskeli yanapokuwa ya kudumu.
Huhitaji kuanza na duka kubwa. Unaweza kuanza kidogo kwa kuuza bidhaa zinazotafutwa mara nyingi kama:
Kwa kijana mwenye nidhamu, anayejifunza soko na anayekuwa no mvumilivu, biashara ya vifaa vya baiskeli inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato na kukua hatua kwa hatua.
Usidharau biashara ndogo. Kile unachoanza leo kinaweza kuwa duka kubwa kesho. 🚲💪

- Matairi na mipira ya ndani
- Breki na waya zake
- Minyororo
- Pedali
- Mikalio
- Rim na spea nyingine muhimu