Recent content by Madrid86

  1. Madrid86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa hili swali kwa hekima kuhusu kuishi ukweni

    Suluhisho ni kuhama hapo ukweni. Bora muende kupangisha. Hayo maisha yanaezaleta mtafaruku saa yoyote. Pia nyie kama wanandoa mnakua hamko huru.
  2. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua hawa mbwa Ni breed gani???

    Huyo mama yao tu utata.
  3. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Arsenal wakitufunga ndo itakua aibu yakufungia mwaka. Morinyo kaishiwa mbinu afukuzwe, ana maneno mengi sana
  4. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Usipaniki ndivyo maisha yalivyo. [emoji3][emoji3]
  5. Madrid86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, mimba ya mke wangu inatuvuruga

    Hahahaa ni kawaida mkuu vumilia bado miezi 6 tu.
  6. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna Daktari anaitwa Danny, serikali imeshindwa kumuwajibisha?

    Hizi tuhuma ni nzito, anacheza na afya za watu. Lazima awajibishwe aise kama ni kweli.
  7. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Yaan unadiriki kusema moja ya hasara ya hayo mashirika ni mtu kuishi miaka mingi baada ya kustaafu. Duuuh.
  8. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

    Kama unafuliwa kila siku unabadili.
  9. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Nikinyoa napata muwasho wa ajabu

    Tumia machine nzuri na after shave nzuri.
  10. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Kwanini lakin watanzania waishio nje wanaletaga visingizio ukiwaomba link ya kuwa diaspora??

    Ni kumpa moyo mlalamikaji nakumuonyesha kua pande zote znaeza zikawa na maisha mabovu pia.
  11. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Kwanini lakin watanzania waishio nje wanaletaga visingizio ukiwaomba link ya kuwa diaspora??

    Wengi hawataji kurudu hata kama hali ni mbaya uko coz wanaona aibu wajrudi wenzao waliowaacha washafka mbali na connections hawana.
  12. Madrid86

    JamiiForums Tanzania Tangu nimeanza kupiga mazoezi badala ya kupungua naongezeka uzito

    Tehtehteh huo msosi ndo unaleta shida
  13. Madrid86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

    Wote hamko SILIASI. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  14. Madrid86

    JamiiForums Tanzania TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

    Wewe ndo ulikosea. Kumbe namba ya mwalimu mkuu ulkua nayo.
Back
Top Bottom