Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,050
- 126,079
Basi vumiliagaHapana alikuwa na heshima sana
Basi vumiliagaHapana alikuwa na heshima sana
Nmefikiria hivoAnatumia Mimba kukutest...kama anaweza kukuendesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] balaaawe vumilia tuu , wengine tulikuwa tunaamshwa usiku wa manane kutafuta kuku aliye chomwa na kiepe
Hamna mkuu hua inatokeaga hvyo wala hakutestNmefikiria hivo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka kinomaMbonaaaa bado!anakuamsha saa 9 usiku anakuambia nataka unizngushe na gari mpaka kukuche, wakati hata baiskel sina wala gari kuendesha sijui
Wewe vumilia huo ndio mziki wa mambo ya ndoa, lakini anapokwambia unanuka si unatakiwa uende ukaoge ujipake na mafuta yake anayojipaka mwenyewe ili muendane,Hapana alikuwa na heshima sana
Anakwambia badoWewe vumilia huo ndio mziki wa mambo ya ndoa, lakini anapokwambia unanuka si unatakiwa uende ukaoge ujipake na mafuta yake anayojipaka mwenyewe ili muendane,
Maajabu ni kwamba wanaojazwa mimba na kutelekezwa makwao hawanaga hizi mbwembwe za kuagiza watu chipsi au mihogo usiku wa manane.Naamini huwa ni usanii tu hormones zinasingiziwa.Ukitelekezwa na hormones hazitoki au?
Anakwambia bado
Asante nduguVUMILIA TU ITAISHA HALI MIEZI BADO 6
Amepat mimba akiwa kwaomlikaa mda gani pamoja kabla hajapata mimba????
i mean tokea muoane kama hii ni mimba ya kwanza mlikaa mda gani?