Msaada wa kujua hawa mbwa Ni breed gani???

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Habari wakuu, nimekua mpenzi sana wa kufuga mbwa kwa muda mrefu Sasa na mbwa wangu amebahatika kuzaa watoto wanne. Kinachonitatiza ni sijajua hii ni breed gani ya mbwa maana hata nikiulizwa naishia tu kusema wakizungu. Sina mpango wa kuwauza ila ningependa kufahamu aina yao ili hawa puppies wakikua niweze kuwacross breed na aina nyingine niweze kupata mbwa bora zaidi. Nawasilisha
IMG_20181209_113618_4.jpeg
IMG_20181209_113254_8.jpeg
IMG_20181209_113457_0.jpeg
 
Dah hongera kwa kufuga mkuu. Hivyo vijibwa vimenikumbusha 2005 nilikuwa na kijibwa kimoja nikakiita Ronaldo, siku moja nikapata likizo naenda nyumbani rafiki yangu akabaki nae ile narudi nilimsahau Ronaldo aisee alikuwa kama FISI.
 
Picha ya Ronaldo please.
 
Dah hongera kwa kufuga mkuu. Hivyo vijibwa vimenikumbusha 2005 nilikuwa na kijibwa kimoja nikakiita Ronaldo, siku moja nikapata likizo naenda nyumbani rafiki yangu akabaki nae ile narudi nilimsahau Ronaldo aisee alikuwa kama FISI.
Alitafuna mifugo mkuu?
 
Back
Top Bottom