Recent content by MadagascarPenguin

  1. MadagascarPenguin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

    It took me two years to move on! Hadi nikakukana na kijana mwengine ambae nilimuelezea sutuation na nikamuambia kuwa I am in a process to heal...nae akaniambia take all your time to heal and I'll be right here waiting for you when you are ready! Slowly nikajikuta na fall in love again with this...
  2. MadagascarPenguin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

    Aliniambia kuwa sijawahi kumkosea hata kidogona anajua kuwa nampenda sana kuliko chochote ila ameamua kuwa na mwanamke anaempenda zaidi kuliko mimi....It was very painful to me but I had to accept the fact for the sake of his happiness.
  3. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Anaitwa Mohammed Nuh, ni mgombea kutoka Zanzibar kundi la wanaume. Very true, his presentation was a mind blowing...
  4. MadagascarPenguin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio full list ya mikoa yenye wanawake wanaojua kukarangiza misosi

    Ama kweli akutukanae huwa hakuchagulii tusi[emoji15]
  5. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

    *Kwa kigezo gani unamuwazia Bakhressa kuwa ni gaidi? Au jina la kiislam na kwa vile mumemezeshwa kuwa waislam wote ni magaidi?*
  6. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa udhalilishaji Dakawa wafikishwa Mahakamani

    Ni ushamba uliotukuka jambo walilolifanya, shenz type!
  7. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Maji ya bahari ya Hindi yaibukia Mjimkongwe Zanzibar na soko kuu la Darajani

    Labda hiyo miaka 5 kipindi cha mvua ulikuwa upo Dole au Kitope[emoji23]
  8. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Maji ya bahari ya Hindi yaibukia Mjimkongwe Zanzibar na soko kuu la Darajani

    Muungano unahusiana nini sasa hapo na kujaa maji ya bahari? Think big na toa hoja ziloenda shule. Aidha, jifunze kutofautisha matumizi ya letter "l" na "r". Neno sahihi ni "MABADILIKO" na sio "mabadiriko" kama ulivyoandika hapo.
  9. MadagascarPenguin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakina mama: Chungeni sana kauli zenu

    Na baadhi ya wanaume nao wana kauli za kuchoma. Utamsikia mume wako anakwambia, ni afadhali mke wa fulani akiguswa tu anapata mimba. Wewe hadi leo umeshindwa hata mimba ya bahati mbaya! Jamani, kweli kuna mwanamke kwenye ndoa asiependa kupata mtoto?
  10. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata mtoto no swaga,pozi,promo,kimyaaaa...chezea kulea?

    Kiazi mburura utakaekuwa unakwepa majukumu....Jiongeze usiwe mjinga hivi.
  11. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Karume day ifutwe huku Tanganyika

    Futa Muungano kwanza nayo itaondoka bila kupigizana kelele, venginevyo, ni budi kuivumilia tu hii siku.
  12. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

    Yangu mimi imetokana na mapenzi yangu kwa animation movies.
  13. MadagascarPenguin

    JamiiForums Tanzania Masomo gani yalikuwa magumu chuoni lakini ukafaulu?

    Computing Mathematics
  14. MadagascarPenguin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ni nchi za Afrika zinazoongoza kuwa na wanawake wazuri?

    Uganda veeepe? Si tumetoa wifi huko jamani?
  15. MadagascarPenguin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa kubwa kwetu wanaume

    Umenena kweli...anaekupinga ni yule ambae hajaionja raha ya kukutana na mwanamke bikra hivyo anabakia kujifariji.
Back
Top Bottom