Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

Denans BAltazar >>>>Sahihi kabisa kwaili mh mbowe ajitizame
Binafs mwanzo nilianza nawalahum ccm lakini kadri mda ulivyokuwa unazidi kusogea nakusikiliza kwauamakini kanuni za uchaguzi huwo nikafunduwa kuna kitu kwaupanda chadema kimefanywa maksudi kuwapitisha wagombea wale.
Mambo haya tumeyazoea kuyaona nakuyasikia ccm sasa yamehamia kwetu.

Gilbert Phillip Kutta>>> BADO HUJAELEWA KILICHOFANYIKA. CHADEMA HAIENDI BUNGE LA EALA KWA MATAKWA BINAFSI YA WABUNGE HUSIKA BALI INAENDA BUNGE LA EALA KWA MKAKATI WA KICHAMA ULIOBEBA UJUMBE WA WANACHADEMA EAST AFRICA. ...KWA MANTIKI HIYO MH. MBOWE HAKUHUSIKA KUFANYA HUO UTEUZI KAMA YEYE BALI ULIFANYIKA KWA MASLAHI YA CHAMA NA TAIFA LETU KWA UJUMLA....HILA WALIZOTUFANYIA CCM NI KUPINGA MATAKWA YA WANACHADEMA KWA UJUMLA NA WAKIWA NA HOFU YA KUTUMBULIWA BUNGENI EALA. HATA HIVYO HAWAKUTUMIA TARATIBU ZA UCHAGUZI ZA BUNGE LA EALA WAKATI CDM ILITIMIZA TARATIBU ZOTE HALALI. HILO NDILO TUNALOZUNGUMZIA HAPA!
Nani aliwazuia Chadema kutuma wagombea watatu kwa mfano? Wagepigiwa kura za kawaida, na wawili wenye kura nyingi wangepita, ambapo hakika mmojawapo wa hao Masha na Wenje angekuwepo. Na most importantly, wote wawili ambao wangechaguliwa ni wa Chadema bado. Wamejitakia. Shida ya Uongozi wa Chadema ni kuwa hawakutaka mbunge kutoka Chadema, walitaka Masha na Wenje. Watu juu ya chama, badala ya watu ndani ya chama. Ikabuma.
 
Soothtens st: 20514051 said:
onyx Hilo nalitambua sana, mkakati wa chadema ni kujijenga kanda ya ziwa kwa kupitia wagombea wao. Hakuna kinachowazuia kugombea 2025 maana watakuwa na pesa, pia watakuwa na ushawishi kwa wananchi ili waweze kumchagua aliyepitishwa na chama. Hivyo kwa vyovyote malengo ni 2020 na 2025.
Hao hawawezi tena kugombea wakishakuwa wabunge was EALA
 
Nani aliwazuia Chadema kutuma wagombea watatu kwa mfano? Wagepigiwa kura za kawaida, na wawili wenye kura nyingi wangepita, ambapo hakika mmojawapo wa hao Masha na Wenje angekuwepo. Na most importantly, wote wawili ambao wangechaguliwa ni wa Chadema bado. Wamejitakia. Shida ya Uongozi wa Chadema ni kuwa hawakutaka mbunge kutoka Chadema, walitaka Masha na Wenje. Watu juu ya chama, badala ya watu ndani ya chama. Ikabuma.
HAPAKUWA NA HOJA YA KUTOTUMA WAGOMBEA WATATU ...WALA HAPAKUWA NA ULAZIMA KISHERIA KUTUMA WATATU..,,,HIYO HAIKUWA HOJA NA NDIO MAANA WALIKUBALIKA KUPIGIWA KURA VINGINEVYO WASINGEPIGIWA KURA. TATIZO LILIKUWA UFISADI WA KUVURUGA TARATIBU ZA UCHAGUZI BILA KUZINGATIA TARATIBU ZA UCHAGUZI KWA MASLAHI YA CCM DHIDI YA THE MINORITY GROUP OF ELITES!
 
Wamepigiwa kura za hapana. Sasa Chadema imepata faida gani? Ubishi hausaidii. Chadema walitarajia kuwa CCM iko pale kuwaunga mkono kwenye mipango yao? Chadema walihitaji kujipanga dhidi ya wapinzani wao, siyo kwenda kuwategemea. Walipaswa waweke mazingira ya kusababisha CCM walazimike kutimiza ambacho Chadema wanahitaji, siyo kupeleka wagombea watakaoenda kutarajia na kuomba 'huruma' ya washindani wao. Wangeweka wagombea watatu kazi ingekuwa rahisi, lakini wao wanamletea ubabe yuleyule wanayetegemea huruma yake! Kimenuka.
 
Go back to your English class before starting to correct other's English. I wrote publically I knew is correct and not of your publicaly.
Also you have to know that there is different principles of grammatical writing. Don't expect the gram of lawyer will be the same grammar with English teach. But all in all go back to class before throwing criticism to others
What do you mean by the following:.
-English teach??.
-Also be careful and if possible take a jet for the uses of the articles....A....An....The
 
Chama kimepewa nafasi mbili na ndio kinajua kina nani wanaweza sio bora idadi. Malalamiko yalipaswa yatolewe na wanachama wa Chadema sio bunge
Bungeni walipeleka majina ya nn;kwa nn walikuwa wanajieleza na kuomba kura??kama washachaguliwa na chama kujieleza kote kule kulikuwa kwa nn?we don't have to be blind to the facts!
 
Wewe unachekesha kuliko wanaochekesha
1/3 ya watu wawili ni ngapi ! ?
1/3 ni minimum ya idadi ya wanawake kwa wanaume au kwa kifupi unaweza sema ni ratio ya jinsi zote mbili.....so if 1/3 is not possible then make it 1/2.Mimi binafsi siyo mfuasi wa serikali ya anko magu na chama chake lakini katika hili vijana wa BAVICHA mkubali tu kuwa mmeteleza na mjipange upya ili mjitofautishe na CCM mnayoikosoa mara zote.
 
Wamepigiwa kura za hapana. Sasa Chadema imepata faida gani? Ubishi hausaidii. Chadema walitarajia kuwa CCM iko pale kuwaunga mkono kwenye mipango yao? Chadema walihitaji kujipanga dhidi ya wapinzani wao, siyo kwenda kuwategemea. Walipaswa waweke mazingira ya kusababisha CCM walazimike kutimiza ambacho Chadema wanahitaji, siyo kupeleka wagombea watakaoenda kutarajia na kuomba 'huruma' ya washindani wao. Wangeweka wagombea watatu kazi ingekuwa rahisi, lakini wao wanamletea ubabe yuleyule wanayetegemea huruma yake! Kimenuka.
KUPIGIWA KURA ZA HAPANA SI HASARA KWA CHADEMA ZAIDI YA HASARA KWA WOTE WALIOJIFANYA KUZIPIGA KURA HIZO BILA KUTAFAKARI MUSTAKABALI WA WANAOWACHAGUA!!.KWA KUTOWAPIGIA KURA SAHIHI WABUNGE WA CHADEMA HIVI SASA HAKUNA WABUNGE WOWOTE KATI YA WALIOPIGIWA HIZO KURA ZA NDIO WATAKAOWEZA KUAPISHWA BILA KURUDI NA KUWAKUBALI MLIOWAKATAA TENA KWA AIBU KUBWA!
 
Waendelee kufanya vioja, siku upinzani nao wakishika hatamu wataendeleza hivyo vioja, najua itawauma sanaaa kuliko wanavyowafanyia wenzao, mfano wakati Masha alikamatwa na polisi ambapo aliwahi kuwa Boss wao, bila kusahau walichofanyiwa Lowasa, Sumaye ...... ambapo walipokuwa Wazariri wakuu waliwafanyia wenzao wa upande wa pili unyama, ila kwa huruma ya upinzani wanawafariji na kuwabeba bila kinyongo. Mungu ni mwema siku zote.
 
KUPIGIWA KURA ZA HAPANA SI HASARA KWA CHADEMA ZAIDI YA HASARA KWA WOTE WALIOJIFANYA KUZIPIGA KURA HIZO BILA KUTAFAKARI MUSTAKABALI WA WANAOWACHAGUA!!.KWA KUTOWAPIGIA KURA SAHIHI WABUNGE WA CHADEMA HIVI SASA HAKUNA WABUNGE WOWOTE KATI YA WALIOPIGIWA HIZO KURA ZA NDIO WATAKAOWEZA KUAPISHWA BILA KURUDI NA KUWAKUBALI MLIOWAKATAA TENA KWA AIBU KUBWA!
Wataapishwa tu. Nini kitazuia?
 
Mods msiondoe wala kuchanganya Uzi huu,malengo ni kupambana na ubaguzi unaoota mizizi.
Tuliona na kusikia tena sio kwa siri agizo la vitisho kwa waliokwenda kumsalimia kirafiki Lema akiwa jela kuwa ni usaliti kwa chama cha mapinduzi. Hili lilikuwa onyo zito sana, na kwenda kinyume ni kuhatarisha mustakabali wa muhusika katika siasa zake.
Ubaguzi huu umeenda mbali kiasi cha kuwa kumpigia kura ya NDIYO mtu wa upinzani nao ni usaliti kama ule wa kwa Lema. Jee tumefika huko? Hii ni kama kuwaambia Wabunge kuwa ukiwa barabarani wewe Bashe au Livingstone ukikuta Lissu kapata ajali ukimsaidia kumkwamua umesaliti chama.
Ukiliangalia zoezi la kura za EALA ni kama wabunge wote wa ccm pamoja na mawaziri akiwepo Majaliwa walikuwa na maelekezo ya kupiga kura za hapana. Na mkakati ukawa kura yako sio siri bali muonyeshe na mwenzako I'll kuwa na ushahidi kuwa wewe sio msaliti.
Masha na Wenje hata wao wanao marafiki wengi tuu ndani ya ccm, iweje wote wapige kura za hapana kama sio maagizo?
Taifa linaelekea kubaya huu ubaguzi unaopandikizwa kwa nguvu. Utahama kwenye siasa na kuingia mtaani na yatatokea kama ya Zanzibar ambako watu wana maduka yao, boti zao,visima vya MAJI Nk kwa imani za kiitikadi.
Mzee Mwinyi,Mkapa na Kikwete mnayaona haya?
Yanaweza yakikomaa yasiwaguse nyie, lakini mna watoto na watoto wa watoto wenu jee mnataka wayaishi hayo? Kuweni kama Mwalimu, kemeeni bila woga ili mvi zenu ziende kaburini kwa heshima.
Ubaguzi wa siasa una nguvu kama ule wa makabila, jee tufikie ya Rwanda ndio tuanze na sisi kujijenga upya?huku tukiwa na minara ya mafuvu ya vichwa?
CCM msione raha hii tabia, tukitumbukia tunatumbukia wote, na humo shimoni hatuta pata muda wa kuulizana wewe ni wa upande UPI.
 
Back
Top Bottom