Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Alikuwa hataki niwe karibu nae tuzungumze na kufanya mawili matatu yanayotuhusu! Akiwa ana shida anakuwa mpole wa kunilegezea sauti na unyenyekevu uliotukuka, lakini baada ya kumsaidia ananisahau kabisa mpaka inafika hata week. Siku moja nilimuomba mchezo akawa mkali zaidi ya mbogo aliyejeruhiwa na sime! Nikamvumilia! Juzi nikamuona kapakiwa kwenye shangingi na mtanzania mwenzangu mmoja hivi. Basi bwana nikavunga ingawa niliumia sana....sasa Jana akaja kuniomba msamaha na nikajikuta namkubalia.....sasa Leo anasema anashida na 30000/= sasa hivi nimpe au Nipige chini?
 
so,maisha yakawaje baada ya hiyo situation?
It took me two years to move on! Hadi nikakukana na kijana mwengine ambae nilimuelezea sutuation na nikamuambia kuwa I am in a process to heal...nae akaniambia take all your time to heal and I'll be right here waiting for you when you are ready! Slowly nikajikuta na fall in love again with this guy na mwaka mmoja baadae tukaoana and we lived happily ever after... Hivi sasa mimi ni mama wa watoto wawili.

Kujua kuwa Mungu analipa hapax2 duniani, yule jamaa alitoswa na yule demu na hivi sasa bado hajaoa...How sad
 
Alikuwa hataki niwe karibu nae tuzungumze na kufanya mawili matatu yanayotuhusu! Akiwa ana shida anakuwa mpole wa kunilegezea sauti na unyenyekevu uliotukuka, lakini baada ya kumsaidia ananisahau kabisa mpaka inafika hata week. Siku moja nilimuomba mchezo akawa mkali zaidi ya mbogo aliyejeruhiwa na sime! Nikamvumilia! Juzi nikamuona kapakiwa kwenye shangingi na mtanzania mwenzangu mmoja hivi. Basi bwana nikavunga ingawa niliumia sana....sasa Jana akaja kuniomba msamaha na nikajikuta namkubalia.....sasa Leo anasema anashida na 30000/= sasa hivi nimpe au Nipige chini?
MPE tu maana huna maamuzi ndo maana unaomba ushauri kwa jambo ambalo tayari umefanya maamuzi ya kumpa,mkuu sample yako ndo huwa wanateswa sana Na wanawake!!
 
Alikuwa hataki niwe karibu nae tuzungumze na kufanya mawili matatu yanayotuhusu! Akiwa ana shida anakuwa mpole wa kunilegezea sauti na unyenyekevu uliotukuka, lakini baada ya kumsaidia ananisahau kabisa mpaka inafika hata week. Siku moja nilimuomba mchezo akawa mkali zaidi ya mbogo aliyejeruhiwa na sime! Nikamvumilia! Juzi nikamuona kapakiwa kwenye shangingi na mtanzania mwenzangu mmoja hivi. Basi bwana nikavunga ingawa niliumia sana....sasa Jana akaja kuniomba msamaha na nikajikuta namkubalia.....sasa Leo anasema anashida na 30000/= sasa hivi nimpe au Nipige chini?
Kaka wewe ni Hospitali hapo, Raia anakukumbuka akiwa na ugonjwa tu
 
Alikuwa hataki niwe karibu nae tuzungumze na kufanya mawili matatu yanayotuhusu! Akiwa ana shida anakuwa mpole wa kunilegezea sauti na unyenyekevu uliotukuka, lakini baada ya kumsaidia ananisahau kabisa mpaka inafika hata week. Siku moja nilimuomba mchezo akawa mkali zaidi ya mbogo aliyejeruhiwa na sime! Nikamvumilia! Juzi nikamuona kapakiwa kwenye shangingi na mtanzania mwenzangu mmoja hivi. Basi bwana nikavunga ingawa niliumia sana....sasa Jana akaja kuniomba msamaha na nikajikuta namkubalia.....sasa Leo anasema anashida na 30000/= sasa hivi nimpe au Nipige chini?

Mpe tu, una moyo mkubwa sana wewe.
 
Mi Dem wng nishashindwa kuachana nae aisee, Tunapumzkaga tu
Kumbe ndio wewe maana kuna demu anakuja kwangu kwa msimu nadhani na sasa mmepumzika tena maana niko nae mpaka sikukuu zote ziishe paska muungano eid na birthday yake na yangu ndio atarudi kwako! Ila umemzoesha vibaya sana kupiga mizinga!
 
Kuomba hela
Kupenda kuchezea simu yangu
Hapendi niende kulisakata Twanga
Mchawi
Mfupi halafu keusi sana
K ilikuwa ina emmit radiation za hatari
Alikuwa polisi pale sentro so ananitisha tisha kuniweka ndani
 
Back
Top Bottom