Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

Alikua hanifikishi,nikamweleza ukweli tuakaachana,kuliko kumcheat ni bora tuachane kwa amani. Hadi Leo ni rafiki yangu sana, japo najua siri yake ana kibamia kama cha mtoto.
Kibamia huo ukweli usingesaidia kitu
 
Manzi alinipikia ndizi bila nyama,japo zilikuwa tamu lakini ni kashfa kubwa kumpikia mwanaume wa kabila langu ndizi bila nyama,eti ohh hii inaitwa ndizi mboga mboga,nkamwambia ningekuwa nashida na mbogamboga ningekwambia upike ugali.akala kadi yake nyekundu kiroho safi.
Una roho mbaya!
 
Akiniomba hela naitikia ndio ntampa Alafu napotezea..... Kaomba nimnunulie naniliu nikaitikia kasubiiri kaona Bila Bila....dah akachoka kuvumilia.

Akaamua kuniacha......

I really miss her..... mwenyewe alikuwa ananiita ccm badala ya sumbai sijui kwanini
CCM
 
Mimi binafsi alinisababishia nikapata supplimentary nne semester one... coz muda mwingi akinikuta nasoma anaanzisha ma touch yasiyo na ulazima mwisho wa siku najikuta nazima laptop nafunika madesa yangu then mchezo wa kwichi kwichi unafuatia....." kwa kweli baada ya matokeo kutoka sikuamini macho yangu nilikuwa nimeingiza course nzito zote... pale pale niliamua kumwacha na kuongeza juhudi katika masomo yangu coz yeye ndio nilihisi alikuwa mchawi wangu mkubwa...
 
1. Hashiki mimba miaka kadhaa yet anataka nimuoe nami bado kijana
2. Haamini katika mapenzi ya kweli anayaita mapenzi ya kihindi
3. Lipenda starehe namba moja
4. Tapeli lilaghai kubwa
5. Kwa mechi za nje tu halijambo
6. Halichelewi kuachana na mtu maana ndo jadi yake wengi tunalia
7. Pesa zako zikikauka zinakausha na mapenzi yake
8. Yani all in all I spent my two good years for nothing completely.
9. Bado litaumiza wengi tu maana kuachika ndani ya mwezi mmoja halioni shida
mkuu,Hilo lilikua shankupe
 
Back
Top Bottom