Recent content by machage

  1. M

    JamiiForums Tanzania The power of God for those unemployed!

    Nimehamasishwa na mm, nimuombee mchumba wangu apate kaz. Till now hajapata. Naamin Mungu muweza wa yote atamsaidia. Ngoja nikazane kuomba.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ugomvi katika mahusiano ni afya

    Nimeipenda hii.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi unadhifu wa mume sio fahari ya mke tena?

    Ndoa inahitaji umakini wa hali juu kwa upande wa mme na mke. Mke siku zote ndio wa kwanza ktk kumuongoza mme juu ya maswala ya nyumban, ikiwemo usafi, chakula n.k, toka enzi. But, kutokana na maisha yanavobadirika, baba anafanya kaz na mama anafanya kaz, hapa inatakiwa wanandoa wenyewe kujipanga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka nimpe zawadi hii

    Nzuri, atafurahi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii kumi wa bongo ambao hawana nidhamu

    Huyo Hemed ni mwanaume mwenye dharau sana, siku moja anahojiwa radio clouds kaulizwa ni "jambo lipi baya ulilowahi fanya ukiwa shule" eti kwa dharau akajibu nimewahi mtemea mate usoni msichana mbaya, akimaanisha mbaya wa sura. Akaongeza nilikuwa siwapendi wasichana wabaya. Du, alinichefua siku...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu kiboko

    Ni too much kwa kweli, sidhan kama huyo mwanamke anapata raha zaidi ya kuumia. Nampa pole aise, japo ni tam! Ila ikizidi chungu....lol!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

    Kweli aise, spendi kuona mwana anakata viuno kwenye mziki, hasa hivi vya bongo fleva vinanichefua, mwanaume hawi hivo, unakatika ili iweje, mwanaume mwenzio akuone unajua kukata ili akutaman..lol!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

    Mtoto wa kiume usitegemee kuombaomba hela kwa dem wako.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mizinga ya demu imeua ndugu wawili

    Pole sana, but inaonekana we ni mbahili ndio maana alikuwa anatumia mbinu za kuua ndugu zake..lol!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

    Da! Tulia basi unapoandika.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

    Vumilia tu, walishasema kwenye ndoa kuna kupanda milima na kushuka, hiyo ndo milima yenyewe sio kila siku unashuka tu, as long as mmeo nae hajiongezi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mvua tafadhali usinyeshe tena

    Mafisadi yamejaa sana Dar es salaam, acha mvua inyeshe. Natamani mafuriko yafike mpaka ikulu. Rudini majimboni mwenu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka maisha ya upweke

    Asante, ushauri mzuri sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka maisha ya upweke

    Mi mpenz wangu yuko mbali, nitaepukaje upweke! Je kamchepuko kanaweza nisaidia...lol!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Inakera sana!!!!!! Taja kero yako.....

    Ananikera huyu REPRO anapoandika na hii colour, inaumiza macho aise.
Back
Top Bottom