Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
1. Ata uone kitu kimekaa poa niaje hutakiwi kusema," Awww, that's soo cute.Huo ni ushoga mtu wangu.
2. Haufai kusema aya maneno kuonyesha umeshtuka," Gosh, Akaah,
ama OMG'
3. Ukiomba kitu hufai kusema," Jamaaaniiiii au pliizzzz '
4. Ukitext please usitumie," Xo' 'Xema' 'Xaxa' 'Pouwar' ama 'Xwirry'
5. Kummendea demu/mke wa rafiki yako, shemeji shemeji kibao ..shauri yako utakojoa dagaa .
6. Hufai kuongea kuhusu washikaji wengine ukiwa na madem. Huo ni umbea mwanangu.
7.Rangi ya pink usiitumie sana kwenye vitu vyako ata kama unaipenda sana.
8. Dem akikukataa chapa lapa kiroho safi na sio eti uanze kudanganya masela ooh yule mi nishammega.
9. Usiongeeongee eti unaeza kumpiga mtu flani. Huo ni utoto, kama vp nenda kampige tuone.!
10. Usiwe mtu wa kununa ovyo ovyo, alafu kuhusu vitu vidogo vidogo, mfano; msela kachelewa kujibu msg yako..basi unanuna siku nzima unamnunia nani !
11. Kuchek tamthiliya tena na madem alafu mnaanza kuhadithiana ilivyokuwa.! sijui Aliando vile mara MariaClara hivi


#Ongezea zingine.
 
True mwana mtoto wa kiume lazima uchane ukweli kwa wana kama hauko vizuri sio vunga vunga zisizo na maana
 
Back
Top Bottom