Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Last edited by a moderator:
Ahsante subir nilianzishe leo naweka chumvi nyingi kwenye samaki!!! (Huu wa maksudi sijui nao ndio umo miongoni mwa uliongolea)
Hiyo tahadhari ni nzuri kweli me hata usipontahadharisha sipigani ng'o ubavu huo sina ati
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Swali zuri!
Jamani himidini yupo kimya,sijui kwa nini
^^
Ndoa ni kama chupa kabatini, kugongana ni kawaida. Ugomvi wa mara kwa mara utakuwa wa kiafya iwapo tu kuna kujishusha kwa zamu. Si lazima kila mara mume au mke awe mshindi la! Busara itawale
^^
Hahahaaa, mbembeleze akujibu kule kwa Prime Minister, halafu utanambia na mimi kule kule.
Sidhani kuwa mara zote ugomvi unajenga, kuna wakati ugomvi unabomoa, hasa kwa vitu vya kujirudia rudia, kwa makosa yanayogusa moyo wa mwenza wako. Kugombana kwa makosa ya infidelity kunabomoa mtu asikuambie. Kuna vitu kama mmoja kutopendezwa na tabia flani za mwenzake, kama uvutaji, unywaji...hizi ni za kujirudia na kwa mtizamo wangu hazijengi hata kidogo.
^^
Uko sahihi Mkuu, Maudhi yanayojirudia rudia yanakatisha tamaa, yakizidi huwa tabia. Kama wanandoa waelewa yanaweza kupuuzwa na yale mazuri ya mahusiano yakapewa mkazo.
^^
nakuja PM mkuu...^^
Kuna maswali mengine hutakiwi kuyajibu bali huwa ni ushauri !!!
Kuhusu PM juzi kulikuwa na mada ya lala 1, nilishangaa sana kuona jinsi wanawake wa Jf wanavyochukulia suala la PM, Nilijifunza mengi, na nitatumia vizuri nilichojifunza wakati wote niwapo Jf.
Cc: Kim nana Luv nameless girl gorgeousmimi Simphola
^^