mtu anakupigia humfaham kisha aanza kukuuliza wewe nan...WTF
Ananikera huyu REPRO anapoandika na hii colour, inaumiza macho aise.
mtu anakupigia humfaham kisha aanza kukuuliza wewe nan...WTF
mtu anakupigia humfaham kisha aanza kukuuliza wewe nan...WTF
Bora hii....kuna wengine anakubip, unampigia anakuuliza wewe nani...?
1)Umepumzika kwa raha zako baada ya kuchoka siku nzima alafu ile unafumba jicho unakuta utafiti ame bipu unamtwangia anakujibu nlikua nakusalimia tu.....wallah waweza mmeza mzima mzima kwa hasira lol
(2)Umekazana zako safarini waelekea kuwahi mahala mtu anakusamamisha unamsikiliza jibu oooooh sorry nimekufananisha umefanana na sana Karucee huyu lazma umpandie mgongoni umfanye punda ili uwahi safar yako lol
Hebu na wewe sema kitu kinachokukera
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Unawahi sehem fulani muhimu unafika kwenye mataa wewe unakaribia kuyapita inawaka red.....
Inakera siku umechelewa mfano kwenye appointment unasubiri basi nalo limechelewa,ukichangia kuna baridi nje kisha linakuja bus limejaa pomoni haliwezi hata kusimama linakupita :shock: inabidi usubiri next buss:sad:
Mtu anaomba umkopeshe hela kwa huruma unampa, anakutajia na siku ya kurudisha.Tarehe inafika mtu hatokei, unajaribu kumkumbusha, jibu lake nakukumbuka mpenzi ntakupa tu.
Mnakubaliana na mtu mkutane mahali saa flani,we unafika utakaa mpaka masaa mawili bado anasema yupo njiani karibia anafika.
kumbe limekukwaza umeona unilipue hapa kwani nilikwamisha appointment yako
Ina kera sana kuna baadhi ya watu humu ana-quote thread lote kubwa halafu anaandika maneno matatu tu