Mume wangu kiboko

Mume wangu kiboko

Mmmh wanaume wengine wana hila, kisa cha kumtoa mwenzie malengelenge ya k...? Aaah bwana aweke tomato sauce kisha aanze kulalamika p zake zipo irregular.... walau apumue! Au ndege huwa inatua kwenye tope pia?!
 
Akichoka akamue mbirimbi kwenye Mchuzi...sijui kama anazijua mbirimbi! kidogo nguvu zitapungua...ni kwa muda tu permanent! hazina madhara nikimaanisha
 
Embu tupe hiyo elimu ya mbilimbi kidogo inakuaje du nazijua mbilimbi
 
Du lugha yako ngumu kidogo
Mmmh wanaume wengine wana hila, kisa cha kumtoa mwenzie malengelenge ya k...? Aaah bwana aweke tomato sauce kisha aanze kulalamika p zake zipo irregular.... walau apumue! Au ndege huwa inatua kwenye tope pia?!
 
Ni too much kwa kweli, sidhan kama huyo mwanamke anapata raha zaidi ya kuumia. Nampa pole aise, japo ni tam! Ila ikizidi chungu....lol!
 
...akitaka kila siku (shida)....kwa wiki mara moja...(taaabu)...mara moja kwa mwezi...(kizungumkuti)...Nini maana ya kusogeza huduma karibu?....(it means self service) wenzio wanaihitaji ila hawaipati hata ya kununua
 
Kweli wanawake ni wa ajabu mkigongwa sana hamtaki mkigongwa kidogo hamtaki!

Nway Baba is the head kila siku utanipa na wala sitahitaji maamuzi yako kwenye hilo!
 
Hata mimi naona hapati raha mpaka ameamua kufunguka sio mchezo na anahofia akimnyima,tu atatoka nje kweli anajilazimisha
Ni too much kwa kweli, sidhan kama huyo mwanamke anapata raha zaidi ya kuumia. Nampa pole aise, japo ni tam! Ila ikizidi chungu....lol!
 
Muambie apunguze maufundi.
ila jamaa anaweza kuwa mgonjwa huyo. Mkewe akisafiri mwezi mzima itakuwaje?
 
Haya ni maneno ya mfanyakazi mwenzangu akilalamika mumewe anataka kumgegeda kila siku anasema imekuwa ni tabia mpaka na yeye amezoe ikitokea siku mbili kajifanya bizy kutompa basi humo ndani mume ni kununa tu mwanzo mwisho, swali anauliza kiafya sio mbaya mana anaona kama ni tatizo kila siku lazima awajibike kumpa mpaka anasema siku asipodai tu atajua kachepuka na pia anahisi asipompa atachepuka nje wanajamvi tumshauri najua hapa haliharibiki jambo wenye matusi kwenuuu hapa jf raha tuu.
Sio wewe kweli??
 
Nahisi mimi ndio nitakuwa mume wa huyo rafiki yako.
 
huyo jamaa hana hata siku ambazo hachoki?hmmm
 
mbona kawaida tu yaani we unashangaa wakati mimi nina wake zangu watatu na kila siku nawapa vitatu kila mmoja
Chezea mimi weye!!!!
 
Back
Top Bottom