Magufuli alikwenda Zanzibar kuomba kura na wale wananchi wakawapigia kura wagombea waliokuwa wanagombea bara.sasa kama magufuli hawezi kuingilia jambo ambalo hao wazanzibar wamehusika kumuingiza madarakani iweje Leo hana mpango nao haya ni maajabu.
Hivi magode kura alizopata lowassa kwa mujibu wa tume ya ccm ni uthibitisho kwamba wananchi walitambua lowassa alikuwa anazushiwa.huwezi kuja hapa na hoja dhaifu ambayo haina utafiti.lowassa angepata kura chache kuliko wagombea wa upinzani waliopita ungekuwa na hoja.
Kwani nape anahangaika na matatizo ya watanzania au ccm.hili ndilo tatizo LA ccm wengi wanaona chama ni bora kuliko nchi.wapo Tayari kufanya jambo baya kwa maslahi ya chama
Kama umetumwa na nape umetia aibu humu kama yeye alivyoweka rekodi ya kuwa kilaza asiyejua ajibu nini.nafikiri alijilaumu sana kuitisha press conference.
Hivi huyu msajili ametumwa? Inawezekaje ukawa unashiriki uchaguzi huku mpinzani wako anayetawala haonyeshi dalili ya kutoka madarakani hata kama ameshindwa.huyu msajili angekuwa ni muungwana kama angekemea kauli za kibaguzi zinazotolewa na ccm sio kuja na pumba zake hapa.
Huko Israel kuna madhehebu ya kikristo mfano roman.hats kipindi cha yesu ubaguzi wa wafuasi wa yesu ulikuwepo kwa hiyo kuna waisrael ambao ni wakristo na wasio wakristo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.