Madai yaliyosambaa hivi kuhusu msukule si kweli

Madai yaliyosambaa hivi kuhusu msukule si kweli

Naona unajaribu kuuficha ukweli.
Huyo ndg yake anayemtafuta ni nani?
. Aliingiaje shimoni?
. Na yule askari aliyekuwepo naye ni wakutengeneza?
Acha aumbuke tu, mnatesa watu pasipo na kosa
 
Waposhaji utawajua tu. Yaani ndugu na mume wake wamejitokeza kukanusha, tena yule dada ana mtoto mchanga wa mwaka mmoja ambaye hado leo yuko na mume wa huyo dada nyie bado manendelea kung'ang'ana tu. Kweli mwafrika na uchawi ni uji na mgonjwa.
wabongo na propaganda huwawezi. mengi yanafichwa kwa propaganda
 
Hao wanafamilia kabla ya tukio walishawahi kutoa taarifa polisi ya kupotelewa na ndugu yao?
 
Amepoteaje wakati alikuwa mikononi mwa polisi? mbona mwenyewe alisema hajaolewa, ripoti ya kupotelewa na mkewe aliitoa polisi? Ile afya ni ya mtu ambae amepotea karibuni?
 
Mhhhh wajipange tena... kama ni kichaa wa kawaida tena anayejitambua mpaka kwenda muhimbili mwenyewe nini kilimsibu akaingia kwenye lile shimo?? Na ilikuaje akapenya kwenye lile tundu wakati wanasema alikua bonge... Kumbuka pia wanasema alikua vizuri uani...!
 
Kwa kweli kwa hali aliyoonekana nayo yule dada sidhani kama aliingia mule shimoni kwa kupenda. Kama ndivyo nguo zake zilienda wapi? Kwanini hakupiga kelele kwa wakati wa mwanzo? Tuangalie hili swala kiundani na sio kuyumbishwa na matakwa ya watu wachache
 
kwa macho tu hata uwezo wako wa kufikiri ni wa nyumbu huwez kuamin kuwa yule dada anaeza kwenda muhimbili tena mwenyewe na kuomba dawa.. swali tujiulize aliwezaje kuomba dawa na kukumbuka jina akat aliuliza tu jina hakujibu na hajielewi.. af kwa maziwa yale c mtu wa kunyonyesha huyo mtoto ananyonya nini? fikirien.
 
mshaja jr kuja uku na mzizi mkavu.kuna watu wanatuvuruga
 
Hivi mfano mie Misukule ikikutwa nyumbani kwangu nitashtakiwa kwa kosa gani ilhali serikali haiamini uchawi?

je kwenye maelezo kituoni nitaandika maelezo ya kosa la kukutwa na misukule?

sielewi/ nielewesheni
 
Wewe Kitaja na clouds yenu waongo. Mko nyuma ya mpango wa kuficha ukweli. Hebu tuambie familia ipi inayomtafuta na mwenye taarifa atoe taarifa polisi??? Hivi hatukumuona askari wa kike wakati wanamuopoa??? Mnataka mwenye taarifa zipi atoe polis???? Polis ipi tena???? Ina maana huyo dada kapotea tena??? Clouds ni wapiga dili na ukiwalipa wanaripoti kadri ya utakavyo. Tuelezeni ukweli si huu wa clouds
Ajabu kubwa kabisa. Kuna watu wamenunuliwa kabisa. Kichaa gani atakaa kwenye chemba ya mtu?
 
Unaendaje kutoa taarifa Police wakati alichukuliwa na hao hao Police?
 
mojawapo hiyo apo, mnasema nini sasa,, duu
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1453836677.672156.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1453836677.672156.jpg
    134 KB · Views: 43
Mbona Kuna clip ilitupiwa Facebook na askari walikuwepo pale wakimbembeleza atoke nje.wewe umelipwa uje useme pumba zako hapa.
 
ndo walewale walala hoi kaongwa bia analeta taarifa ya uongo hapa potelea mbl. hata km ni kichaa ndo ukondaji gn km huyu dada hapa, dinia haina raha kweli ni matarizo. be shamed km unajua unashiriki ktk tendo hili
 
Clouds wa kupuuza,afya ya yule dada sio ya kufika muhimbili,kama nao wana misukule watuweke wazi,mim kwa experience yangu ukikuta mtu anatumia nguvu nyingi kudai hakuna misukule na uchawi ujue huyo ndo anayo.
 
Clouds wa kupuuza,afya ya yule dada sio ya kufika muhimbili,kama nao wana misukule watuweke wazi,mim kwa experience yangu ukikuta mtu anatumia nguvu nyingi kudai hakuna misukule na uchawi ujue huyo ndo anayo.
Ndiyo maana ni vigumu sana kuendelea kwa kukumbatia imani hizi
 
So unataka kutuambia kuwa na zile picha zilizokuwa zimeonyeshwa na zenyewe ni za kutendeneza? aliingizwaje katika lile shimo? aliipata wapi ile hali ya kukonda vile? BADO KUNA MASWALI MENGI SANA YA TUKIO LILE YANAYOTAKA MAJIBU.

mWENYE PICHA PLIZ ATUWEKEE
 

Attachments

  • IMG-20160124-WA0017.jpg
    IMG-20160124-WA0017.jpg
    24.3 KB · Views: 37
kwa macho tu hata uwezo wako wa kufikiri ni wa nyumbu huwez kuamin kuwa yule dada anaeza kwenda muhimbili tena mwenyewe na kuomba dawa.. swali tujiulize aliwezaje kuomba dawa na kukumbuka jina akat aliuliza tu jina hakujibu na hajielewi.. af kwa maziwa yale c mtu wa kunyonyesha huyo mtoto ananyonya nini? fikirien.
Kama ana njaa lazima mewata zisinyae,
 
Back
Top Bottom