Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Yaani TBC wanajua kabisa bunge limeanza Dodoma. Ila cha kushangaza badala muonyeshe matangazo ya bunge mko busy na mziki...
Tafadhali Magufuli, tumbua mkurugenzi wa TBC.... Hajui kazi yake na ni wa ovyo kabisa
Tafadhali Magufuli, tumbua mkurugenzi wa TBC.... Hajui kazi yake na ni wa ovyo kabisa
Bunge la 11 limeanza kwa dosari baada ya vyombo vya habari kuonyesha dadili za kuficha jambo
Bunge ni la wananchi cha kushangaza mkutano unaendelea lakini TV station zote tulizozoea wanarusha matangazo ya Live zipo kimya
Kuna nini chini ya kapeti?Au ndio ukali wa mijadala umeanza kuogopesha wakubwa?