Ndio haswa napatakam
maeneo ya tabata yana kufaha?
Bei kias gan hko makongo juuUkihitaji za makongo juu zipo!
Ipo ya laki nne kodi ya mwaka, Nyumba unajitegemea ndani ya fence!Bei kias gan hko makongo juu
zipo nyingi tu.Mwenye nyumba kimara vyumba 2,kmoja master,parking,uzio na geti..isiwe ya zaman
ipo lakini fance haina wala parking Ila NI selfNdio haswa napataka
Tabata maeneo gani? Na kodi yake ni kiasi gani?In case umekosa kabisa,nicheki japo ipo tabata,karibu
PM me tafadhari..Tabata maeneo gani? Na kodi yake ni kiasi gani?
Kama hujui kuwa dalali wa nyumba analipwa hela ya udalali, wewe sio mpangaji...Plus na hela ya udalali unamaanisha nini? Nimeona pia tangazo lako is that the same house? Changanyikeni ipi?
Nadhani hujaelewa swali mkuu umesema kodi laki 6 plus udalali ina maana hela ya udalali ipo ndani ya hii sita au nje....Kama hujui kuwa dalali wa nyumba analipwa hela ya udalali, wewe sio mpangaji...
Kuna jamaa tumepanga nae miadi jioni hii... Tukishindwana I will pm u boss..Mkuu nyumba ushapata?ipo maeneo ya mbez afrcana,ni appartment 2 rooms one master!bei laki 6,ni pm tujadiliane
ipo INA vyumba viwili vya kulala...sebule...choose na jiko...Ila haina fensi wala car packing....kama it's kufaa tuwadiriane 0653688004Ndio haswa napataka
Ubungo nyuma ha mic hotel 3 bedrooms Ila parking in ya gari mdogo tu. kodi laki tano mwaka.
Sorry mkuu nilikua nje ya jf kwa muda... Ipo maeneo gani?Mkuu ulipata nyumba?bado ipo no dalali,ni mpya haijakaliwa bado!apartment 2 in one!kila mmoja anatumia gate lake!AC ipo LG sitting room peke yake!each room in feni la juu aina ya Panasonic.
Parking zinaingia gari ndogo 2 kwa wakati mmoja.
Madalali siwapend wasumbufu sana wanakomaa walipwe kodi ya mwez mmoja kutoka kwa mpangaji,huo ni wizi wa mchana kweupe!wangekua wanataka hata laki 2 at least!sasa uwape laki 6 zote aisee!
Tabata Kinyerezi ghorofa 4 bedrooms zote self contained. Fence bado mpaka June kodi 500,000 miezi 6Tabata maeneo gani? Na kodi yake ni kiasi gani?