wewe ndo utakuwa wa ovyo sana, wengine wanadamka asubuhi kwenda kutafuta riziki ww upo unasubiria kuangalia Bunge, kati yako na wanaojishugulisha mida hiyo ya Bunge nani atakuwa wa ovyo kama si ww na watu wa jamii kama yako, hata hao unaotaka kuwaona sura zao wakati wanaingia ww uwatizame kwenye runinga wanakuwa tayari wameweka posho zao mifuko, wakati ww unaumiza macho kwenye Tv za kichina.Ni rahisi sana kujua serikali ya JPM itakua ya hovyo sana kutokana kuwa na mawaziri kama NAPE....
JPM did it wrong.
Kwani nape anahangaika na matatizo ya watanzania au ccm.hili ndilo tatizo LA ccm wengi wanaona chama ni bora kuliko nchi.wapo Tayari kufanya jambo baya kwa maslahi ya chamaatapata sifa kwa wajinga wenzake tu,lakini kama anadhani miaka 5 mingi anajidanganya
PIGA KAZI WEWE YANI WE UNATAKA UWE UNASHINDA KWENYE LUNINGA TU, UTAWACHEKI USIKU KAMA UNAWAPENDA SANAKwani nape anahangaika na matatizo ya watanzania au ccm.hili ndilo tatizo LA ccm wengi wanaona chama ni bora kuliko nchi.wapo Tayari kufanya jambo baya kwa maslahi ya chama
Achana nae huyo hana tofauti na jibwa la kufuga, likiambiwa bweka haliulizi kwa mini mradi litupiwe mnofu hata kama umeozaKwa hiyo wewe unafurahia kutokufahamu kinachoendelea bungeni?
Hao wabunge wa upinzani nao wako pale kushindana na serikali na ndiyo maana wanataka matangazo ya live ili waonekane,na kibaya kuna watu wanapenda kuona wabunge wao wakifanya fujo mule hata kama kwenye majimbo hakuna wanachofanya.
Hivi ukawa nyinyi shida ipo wapi wakati TBC mnasema ya CCM na hamtazami si mtazame za UKAWA kama wanarusha kwani lazima TBC?
Kaenda bungeni akiiwakilisha serikali ya JMT ila ukawa mnajipendekeza kwake. Ataendelea kuwanyorosha
Hivi wewe ni raia wa Kongo ama Burundi, eti? Mbona unashabikia ujinga ujinga tu?
Nashabikia masuala ya msingi kama unaona ni ujinga pita kuleeeeeHivi wewe ni raia wa Kongo ama Burundi, eti? Mbona unashabikia ujinga ujinga tu?
Nashabikia masuala ya msingi kama unaona ni ujinga pita kuleeeee