Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,490
- 13,551
Ni moja ya mawaziri mahiri sana. Ni mtulivu na mtumia busara sana anapojibu hoja. Wapinzani wanamuogopa mno. Pamoja na waandishi jana kuuliza maswali yasiyokuwa na weledi, ila alijitahidi kujibu na kuwajibu kwa kuwaelewesha bila kupaniki.
Funzo: Waandishi wa habari mjifunze kuuliza maswali. Pia mnatakiwa kutofautisha kati siasa na kazi ya uandishi.
Funzo: Waandishi wa habari mjifunze kuuliza maswali. Pia mnatakiwa kutofautisha kati siasa na kazi ya uandishi.