Recent content by Mabulangati

  1. M

    Jengo la utawala Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM

    Hiyo ndiyo universal standards, ulitaka ipokelewe hovyohovyo alafu kesho upate kujisia ujinga? Tuliiiiii
  2. M

    Jengo la utawala Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM

    Namshangaa sana mtoa mada. Wewe unapoona sakafu ya marumaru unataka iwe unayopenda kuiona tu? Hata unayoiita uchafu ni marumafu inayowekwa kwa staili hiyo. Nakushauri ufanye upekuzi wako vyema na kisha uelezeeunayoyaona na siyo unachotaka kukiona. Pamoja na yote utaona ukarabati mkubwa...
  3. M

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Mueleze. Tarehe 30 hadi tarehe 5 ni siku mbili? Alafu anasema rushwa ya ngono, jamani tuwe makini tusome kwa bidii
  4. M

    Chuo Kikuu fuateni Utawala Bora

    Edwin hebu fanya utafiti kidooogo kisha urudi ujitathmini. Toka lini Mfinanga akawa member wa BICO? Hivi kweli mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ni dvc admin na siyo mama mtanda? Timiza wajibu wako, epuka mambo ya ajabu kazini, fuata sheria, miongozo, taratibu na maadili ya kazi
  5. M

    Rais Samia on SabayaKakokoism UDSM

    Alafu ukakaa kimya? If yes basi nawe ni corrupt wa hatari. Ungepaswa kushitaki na mhusika anganyang'anywa degree. Niliwahi kuhudhuria mahafali ya UDSM pale mlimani city nikasikia mtu amefutiwa degree
  6. M

    Open letter: The date of UDSM with Mfinanga must go

    Adi Sadi aka mtaalamu wa utawala, hivi shule imeisha?
  7. M

    UDSM yatengeneza nyungu ya kidijitali, fukiza bila majani

    Kila kitu kiko wazi kwenye karatasi ya maelezo ndani ya bahasha yenye dawa.
  8. M

    Maandamano ya amani kwa wanafunzi wote wa vyuo nchini

    Boom linalipwa per day na iko hivyo miaka yote. Kama mhula kwa udsm una siku 120 watalikwa kwa siku 120 na vivyohivyo vyuo vingine same to prectical training
  9. M

    Magufuli tusaidie wahitimu UDSM tupate vyeti na transcript mapema

    N Ndugu yangu Bob Maliki, pole sana kwa unachodhani ni usumbufu katika kupata cheti na transcript yako. Kiuhalisia cheti ni kitu cha thamani sana na ni vya muhimu sana kwako, hata hivyo ni vyema kufuata utaratibu. Ndiyo maana lazima ujaze fomu maalumu, ihakikishwe kuwa haudaiwi ada na umehitimu...
  10. M

    UDOM: Watumishi wengine 50 wahamishwa

    Wewe ndugu yangu weweeeee acha porojo, wewe tuambie kuna mtu amepelekwa pasiposahili? Rishafo mbona jambo la kawaida kabisa katika kampuni yoyote? Unajua nia na madhumuni ya rishafo? Uliajiriwa na UDOM kufanya kazi kitengo fulani pekee au popote UDOM? Unataka kuniambia mafaili yapo kwaajili ipi...
  11. M

    Benjamin Mkapa amteua Prof. Mubofu kuwa Makamu Mkuu wa UDOM

    Naomba nikusahihishe kuwa Prof Mukandala amekua full professor miaka kadhaa kabla ya kuwa vc
  12. M

    Baada ya Rais wangu kufanya Makongamano mengi ya Kitaaluma na UDSM nitaomba sasa aende pia akafanye na pale SAUT Mwanza

    Kwanza magufuli hajafanya makongamano UDSM bali alihudhuria kongamano moja tu kati ya waliyowahi kumualika. Hivyo point hapa ni kumualika, nashauri SAUT au vyuo vingine navyo vimualike, maana hawezi kujialika bandugu
  13. M

    Vyeti UDSM hutoka baada ya muda gani baada ya mahafali?

    Haichukui muda hivyo siku hizi. Kimsingi vyeti huwa tayari kabla ya graduation isipokua hutolewa soon after graduation. Nakushauri uanze kuomba transcript kisha cheti
  14. M

    Mkurugenzi UDSM computing Centre (UCC )- Dr. Minja ahusishwa kashfa nzito

    Ndugu yangu hata Magufuli anasemwa kama unavyomsema Minja, lakini nimefanya uchunguzi wa kina tatizo ni watu watatu tu pale ucc mmoja hana cheti cha kidato cha nne, mwingine ni dereva anayelalamika Minja anajiendesha kwa gari binafsi badala ya gari ya ofisi, kwa taarifa zisizotia shaka...
Back
Top Bottom