Magufuli tusaidie wahitimu UDSM tupate vyeti na transcript mapema

Mi nilikuwa jirani yako sasa. Nimeishi maeneo ya juhudi primary nikiwa nafanyia field Mwilamvya
Haaa😅😄😃🤣
Hayo Maeneo Yangu Hadi Kwa Shayo, Ishimwe, Kasulu Motel,
 
Naandikaa huu uzi nikiwa na majonzi ya kurudi mkoani (Kigoma) kijijini kwetu bila cheti wala trascript. Nilikuja Dar ili nifanye clearance kisha nichukue cheti transcript pamoja na cheti.

Cha ajabu nimekamilisha process zote kulipia transcript na kufanya clearance. Naambiwa vyeti mpaka mwakani, basi nikawaambia naombeni hata transcript, wameniambia mpaka Ijumaa ijayo. Sasa mpaka hiyo Ijumaa nitakuwa nakula kwao au kulala kwao?
Kama chuo wameshindwa kuandaa transcript toka mwezi wa 7 mpaka sasa mwezi wa kumi na mbili wanategemea nini?

Mtaani hakuna ajira kabisa, ajira zilizopo zinahitaji angalau uwe na transcript au cheti na sio matokeo nusu.

Kama serikali imeshindwa kutupa ajira basi itype vyeti vyeti ili tuombe hata scholarship nje kwenye fursa ili angalau tuepukane na kukaa bila kutumia tulichokisoma.

Naamini watu mnaomsaidia Rais mmesikia.

Asante JF kwa kunipa uwanja japo niseme hili. Jumapili naenda kukata tiketi kurudi kwetu bila cheti wala transcript.
N

Ndugu yangu Bob Maliki, pole sana kwa unachodhani ni usumbufu katika kupata cheti na transcript yako. Kiuhalisia cheti ni kitu cha thamani sana na ni vya muhimu sana kwako, hata hivyo ni vyema kufuata utaratibu. Ndiyo maana lazima ujaze fomu maalumu, ihakikishwe kuwa haudaiwi ada na umehitimu vyema masomo yako. Sambamba na hayo nilipohudhuria mahafali yenu pale mlimani city sikusikia kiongozi yoyote wa udsm akielekeza kuwa vyeti viko tayari kama ilivyokuwa kwa udom badala yake niliona tangazo la Naibu Makamu Mkuu wa Chuo likisema vyeti vitakua tayari katikati ya mwezi January na transcript zitakua tayari mwezi huu wa Desemba. NIKUSAHIHISHE KIDOGO, PALE UDOM MHESHIMIWA RAIS HAKUELEKEZA WAHITIMU WAPEWE VYETI BALI MAKAMU MKUU WA CHUO NDIYE ALIYEAHIDI HIVYO LAKINI ALISISITIZA KUWA N BAADA YA TARATIBU ZOTE KUFUATWA KIKAMILIFU.

Nikushauri kama unaona unakwamishwa au unasumbuliwa kwa namna yoyote ni vyema kuwasiliana na uongozi wa Chuo au piga simu hii +255222410751 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni kwa msaada na ushauri.

Nikutakie kila la kheri
 
Huyo andingisye amekuwaje graduu day kesho yake watu wakaondoka na vyeti.
Naandikaa huu uzi nikiwa na majonzi ya kurudi mkoani (Kigoma) kijijini kwetu bila cheti wala trascript. Nilikuja Dar ili nifanye clearance kisha nichukue cheti transcript pamoja na cheti.

Cha ajabu nimekamilisha process zote kulipia transcript na kufanya clearance. Naambiwa vyeti mpaka mwakani, basi nikawaambia naombeni hata transcript, wameniambia mpaka Ijumaa ijayo. Sasa mpaka hiyo Ijumaa nitakuwa nakula kwao au kulala kwao?

Kama chuo wameshindwa kuandaa transcript toka mwezi wa 7 mpaka sasa mwezi wa kumi na mbili wanategemea nini?

Mtaani hakuna ajira kabisa, ajira zilizopo zinahitaji angalau uwe na transcript au cheti na sio matokeo nusu.

Kama serikali imeshindwa kutupa ajira basi itype vyeti vyeti ili tuombe hata scholarship nje kwenye fursa ili angalau tuepukane na kukaa bila kutumia tulichokisoma.

Naamini watu mnaomsaidia Rais mmesikia.

Asante JF kwa kunipa uwanja japo niseme hili. Jumapili naenda kukata tiketi kurudi kwetu bila cheti wala transcript.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaonaje wewe usiye 01 umsaidie aondokane na kadhia hii kwa haraka maana mimi nilikumbwa na kadhia hii nilinyimwa transcript panoja na kwamba nilikuwa nimelipia sidaiwi. Na ilikuwa siku moja iwe mwisho wa ajira nikasaidiwa na S. Mgaya kwa mbinde na kuwafokea juu ilikuwa ni saa 12 jioni ndiyo nikapewa na kulazimika kusafiri kwa kutumia IT ili kesho yake niwahi ajira Iringa. Siku zote napata shaka na watumishi wa UDSM kunawalakini na viashiria vya uovu kwa wateja wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mini nilikaa wiki nzima wakashindwa kunipa transcript (eti Kuna tatzo la kiufundi) wanafikiri watu wote tuaishi Dar..wakati mimi nimetoka karagwe..wakanimbia watanitumia kwa posta..hadi sasa sijatumiwa chochote..itabidi niandae tena nauli na pesa ya kutumia Dar wiki nzima..inauma Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...msituharakishe na wala msitupangie kazi nyie vijana subirini nyie ni nani kwani
 
Naandikaa huu uzi nikiwa na majonzi ya kurudi mkoani (Kigoma) kijijini kwetu bila cheti wala trascript. Nilikuja Dar ili nifanye clearance kisha nichukue cheti transcript pamoja na cheti.

Cha ajabu nimekamilisha process zote kulipia transcript na kufanya clearance. Naambiwa vyeti mpaka mwakani, basi nikawaambia naombeni hata transcript, wameniambia mpaka Ijumaa ijayo. Sasa mpaka hiyo Ijumaa nitakuwa nakula kwao au kulala kwao?

Kama chuo wameshindwa kuandaa transcript toka mwezi wa 7 mpaka sasa mwezi wa kumi na mbili wanategemea nini?

Mtaani hakuna ajira kabisa, ajira zilizopo zinahitaji angalau uwe na transcript au cheti na sio matokeo nusu.

Kama serikali imeshindwa kutupa ajira basi itype vyeti vyeti ili tuombe hata scholarship nje kwenye fursa ili angalau tuepukane na kukaa bila kutumia tulichokisoma.

Naamini watu mnaomsaidia Rais mmesikia.

Asante JF kwa kunipa uwanja japo niseme hili. Jumapili naenda kukata tiketi kurudi kwetu bila cheti wala transcript.
Acha ujinga nayo hii ni kazi ya Rais?
 
Tangu nimalize UDSM mwaka 2009 cjawahi kuchukua cheti wala Transcript.. Natumia provisional kuomba kazi na nimeshahama kwenye makampuni na mashirika kama nane hivi mpaka sasa.
Kulilia cheti au transcript ni kutokujiamini na kilichomo kwenye ubongo wako!
 
Back
Top Bottom