University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

inayoangaliwa ni ya mwaka wa mwisho wa diploma (ktk semester zote mbili).
UDSM ni chuo kikubwa sana na hakistahili kufanya haya ,nimeshangazwa sana tena sana kama Mzazi hivi chuo kama UDSM ambacho tulitegemea kua Walimu wako makini kumbe na wao pia wanatengeneza mazingira ya rushwa!! Nakumbuka marehemu Rais wetu Aliwahi kuwaasa walimu kuacha kutengeneza mazingiro ya rushwa ya ngono chuoni, lakini bado Walimu hawaachi why ?? Eti mitihani iliyofanywa alhamisi ya tarehe 30/9/2021 jioni sana leo tarehe 5/10/2021 na imechukua siku 2 tu za kazi, leo imetoka tayari imeshasahihishwa na karibu wanafunzi wengi waliofanya mitihani hiyo wameandikiwa kuirudia mtihani huo mwakani !! Hivi kweli mitihani hiii imesahihishwa muda gani? Kwa siku 2 tu Na matokeo ni kua woote hawakufaulu!! Hivi mitihani imesahihishwa kweli ?? Hivi ni kweli Mitihani hii imesahihishwa kweli !!! Hivi kuna sehemu ya kupeleka malalamiko yao kuhusu jambo hili kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu ya kupeleka haya malalamiko haya tafadhali sana naomba kujua huu siyo uungwana watoto wetu kufanyiwa hivi.
 
Aisee, ila mkuu we umejuaje kuw karibia wote waliofany mitihani hyo ya Sup hawakufaulu??
 
Wakuu samahan
Dogo langu kachaguliwa hapo udsm round 4
Sasa pale kwenye profile hakuna option ya confirmation

Nini nifanye ili wajue kwamba tayari amekubali kujiunga?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
UDSM ni chuo kikubwa sana na hakistahili kufanya haya ,nimeshangazwa sana tena sana kama Mzazi hivi chuo kama UDSM ambacho tulitegemea kua Walimu wako makini kumbe na wao pia wanatengeneza mazingira ya rushwa!! Nakumbuka marehemu Rais wetu Aliwahi kuwaasa walimu kuacha kutengeneza mazingiro ya rushwa ya ngono chuoni, lakini bado Walimu hawaachi why ?? Eti mitihani iliyofanywa alhamisi ya tarehe 30/9/2021 jioni sana leo tarehe 5/10/2021 na imechukua siku 2 tu za kazi, leo imetoka tayari imeshasahihishwa na karibu wanafunzi wengi waliofanya mitihani hiyo wameandikiwa kuirudia mtihani huo mwakani !! Hivi kweli mitihani hiii imesahihishwa muda gani? Kwa siku 2 tu Na matokeo ni kua woote hawakufaulu!! Hivi mitihani imesahihishwa kweli ?? Hivi ni kweli Mitihani hii imesahihishwa kweli !!! Hivi kuna sehemu ya kupeleka malalamiko yao kuhusu jambo hili kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu ya kupeleka haya malalamiko haya tafadhali sana naomba kujua huu siyo uungwana watoto wetu kufanyiwa hivi.
We nae acha ujuaji,hizo siku ni nyingi sana kwa mwalimu aliye serious kusahihisha.sasa kama watu wamefeli ulitaka wafaulishwe tu?
 
Mueleze. Tarehe 30 hadi tarehe 5 ni siku mbili? Alafu anasema rushwa ya ngono, jamani tuwe makini tusome kwa bidii
 
SORRY ...
mm student wa afya CO niko zenji but this is third year .. nahope kudegree on dental surgery .. but natk kujuw hapo chuo UDSM ipo if ipo what entry GPA ..IF haipo what ipo na kw GPA gn
pleas help
 
Back
Top Bottom