Jengo la utawala Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM

I am sorry but Saut ni chaguo la waliokosa nafasi za kozi wanazozitaka UDSM. Kuchakaa kwa Majengo ni sahihi maana chuo ni cha zamani, mtoa mada angetuambia hali ipoje UDBS, Aquatics na Library mpya, viongozi wangependa wangechagua ofisi zao kwenye hayo majengo mapya, lakini kwa utimamu wao haijawa hivyo. Since chuo kipo chini ya serikali ni muda sasa kikarabatiwe pamoja na zile hostel za main campus ukitoa zile mpya za magufuli zilizokuja kujengwa nyingine zote zimechoka.
Kumbe Magufuli aliwajengea hostel UDSM?
 
Nawasalimu kwa salaam yetu pendwa toka kwa mama yetu. Kwa wenzangu na mimi ambao tumewahi kupita chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kusoma ama kutembea tu kuna maajabu yapo katika jengo la Utawala.

Ukiingia kwenye jengo hilo ndio utaweza kumuelewa yule member wa humu ambaye mara nyingi utumia kauli ya SHULENI UWA MNAAENDA KUJIFUNZA UJINGA!

Hauwezi kuamini hili jengo lina ofisi za wasomi wabobezi na waandamizi na wakiwa wanaaminiwa na nchi hii. Chakuchekesha ukipanda kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ni hovyo sana, hazipo katika umaridadi.

Ukianza kupanda ghorofa ya Nne unapigwa na butwaa, chini imewekwa malumalu na milango ya vioo ukweli inapendeza hapo ndio zipo ofisi za wazito wa UDSM.

Cha kujiuliza hawa wasomi wetu wapo tayari kupita sehemu chafu kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ila ya nne ni safi.

Na muda wa kushuka atashuka kuanzia ghorofa safi akizipita ghorofa chafu. Ndio hapo unajiuliza hawa wasomi wetu walienda shule kujifunza ujinga ama. Rekebisheni jengo lote hilo.
Msiwe wajinga kama yule bi kizee.
Kwani ujinga unafundishwa?
Na lipa kodi stahiki, UDSM wapewe bajeti yao yote kwa matenegenezo ya Kampasi.
 
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu Bora Tanzania na ambacho nakipenda hakuna Mfano cha Mtakatifu Augustine (SAUT) hakina 'Aibu' hiyo na huenda ndiyo maana kilitoa, kimetutoa na kinaendelea tu kutoa (kuzalisha) Majiniasi watupu wa Kitaaluma ndani na nje ya Ardhi hii ya Tanzania.

I love you SAUT na hakika We build the City of God.
Duh wamesha kubailojia

Wana kawe sio watu wazuri
 
kumbuka hao wazito hawatoi pesa mifukoni mwao kukarabati jengo wao ni waajiriwa tu, ila kitu kimoja kwanini wanafunzi mfano wa civil and building engineering project zao wasingekuwa wanapewa sehemu km hizo zenye marekebisho wakazikarabati ikawa km ndio project yao
Kwa hiyo hiyo pesa ya kutengeneza floor ya nne ulitoa wewe ama.
 
Fungua uzi wako uzungumzie hayo majengo mengine 😁
Unapofungua uzi, unategemea wana JF wenzio watoe ushauri au wachangie .. Sasa kama kila mtu asipochangia kwenye uzi wa mwingine kisa tu anatakiwa kuanzisha uzi wake, kusingekuwa na mijadala..

By the way, naona tu ni chuki na UDSM.. Na wanaokisema chuo hicho wengi wao walikosa nafasi pale..
 
Umeshakidhalilisha Tayari
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu Bora Tanzania na ambacho nakipenda hakuna Mfano cha Mtakatifu Augustine (SAUT) hakina 'Aibu' hiyo na huenda ndiyo maana kilitoa, kimetutoa na kinaendelea tu kutoa (kuzalisha) Majiniasi watupu wa Kitaaluma ndani na nje ya Ardhi hii ya Tanzania.

I love you SAUT na hakika We build the City of God.
 
mi waliniudhi siku napeleka dissertation yangu kule library, ( nimesahau jina)yaani mtu anachukua rula kupima margin kama umewaka sawa, mara mwingine anaangalia reference sijui '' hizi reference uzipange kwa alphabet, haya rudi''
mwingine anasema '' maandishi ya kwenye table umetumia font ya ngapi - mbona siyaelewi ''- yaani masumbufu !!
afu unakuta saa ni 8 mchana umetoka kula, urudi tena department na jua kali , linyewe limekaa kule ndani
 
Namshangaa sana mtoa mada. Wewe unapoona sakafu ya marumaru unataka iwe unayopenda kuiona tu? Hata unayoiita uchafu ni marumafu inayowekwa kwa staili hiyo. Nakushauri ufanye upekuzi wako vyema na kisha uelezeeunayoyaona na siyo unachotaka kukiona.

Pamoja na yote utaona ukarabati mkubwa unaoendelea kwa jengo la utawala
 
Hiyo ndiyo universal standards, ulitaka ipokelewe hovyohovyo alafu kesho upate kujisia ujinga? Tuliiiiii
 
Namshangaa sana mtoa mada. Wewe unapoona sakafu ya marumaru unataka iwe unayopenda kuiona tu? Hata unayoiita uchafu ni marumafu inayowekwa kwa staili hiyo. Nakushauri ufanye upekuzi wako vyema na kisha uelezeeunayoyaona na siyo unachotaka kukiona.

Pamoja na yote utaona ukarabati mkubwa unaoendelea kwa jengo la utawala
Shule ulifaulu ama maana ulichosama na kujibu ni vitu tofuti.
 
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu Bora Tanzania na ambacho nakipenda hakuna Mfano cha Mtakatifu Augustine (SAUT) hakina 'Aibu' hiyo na huenda ndiyo maana kilitoa, kimetutoa na kinaendelea tu kutoa (kuzalisha) Majiniasi watupu wa Kitaaluma ndani na nje ya Ardhi hii ya Tanzania.

I love you SAUT na hakika We build the City of God.
Waliokosa vyuo kama UDISM,Sua ,Muhas ,Muhas,Mzumbe ndio wanaendaga huko

Yaani DIT na Must ni bora hata kuliko sauti
 
Nawasalimu kwa salaam yetu pendwa toka kwa mama yetu. Kwa wenzangu na mimi ambao tumewahi kupita chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kusoma ama kutembea tu kuna maajabu yapo katika jengo la Utawala.

Ukiingia kwenye jengo hilo ndio utaweza kumuelewa yule member wa humu ambaye mara nyingi utumia kauli ya SHULENI UWA MNAAENDA KUJIFUNZA UJINGA!

Hauwezi kuamini hili jengo lina ofisi za wasomi wabobezi na waandamizi na wakiwa wanaaminiwa na nchi hii. Chakuchekesha ukipanda kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ni hovyo sana, hazipo katika umaridadi.

Ukianza kupanda ghorofa ya Nne unapigwa na butwaa, chini imewekwa malumalu na milango ya vioo ukweli inapendeza hapo ndio zipo ofisi za wazito wa UDSM.

Cha kujiuliza hawa wasomi wetu wapo tayari kupita sehemu chafu kuanzia ghorofa ya kwanza mpaka ya tatu ila ya nne ni safi.

Na muda wa kushuka atashuka kuanzia ghorofa safi akizipita ghorofa chafu. Ndio hapo unajiuliza hawa wasomi wetu walienda shule kujifunza ujinga ama. Rekebisheni jengo lote hilo.
Haina kapicha kaku-support post yako mkuu?
 
Mimi huwa najiuliza na kuwauliza rafiki zangu wahadhiri wa UDSM.
BICO, COET na IPI zimekufaa!!??
Ni kwa nini chuo kina magari mabovu mengi yamejazana pale Auxilliary Police!!?!
Chuo hakiwezi kutumia idara zake za uhandisi kuyafufua!!??!
Mnamo 1990 nilitengenezewa mashine moja matata sana pale I.P.I na wahandisi wetu wazalendo. Leo imekuwajee!!??
Hivi kweli kuna program yoyote ya pamoja inayowashirikisha COSTECH, COET, VETA, SIDO, TIRDO, na IPI ili kutengeneza mwamvuli wa kuwaatamia wagunduzi wetu wadogo wadogo na viwanda vidogo vidogo (hasa hawa watengeneza mashine kama za matofali, kukamua mafuta, kupukuchua n.k)!!!???
N
 
Unazungumzia jengo gani au kuna jengo jipya? Kama hakuna jengo jipya basi mleta uzi hakujiongeza
 
Ugonjwa wa UDOM 😂😂😂😂😂😂 bado unakutesa mpaka leo. Hicho chuo inabidi tuwapige ban kabisa bila one ya 7 form six hakuna kukanyaga UDSM.
 
Back
Top Bottom