JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Msaada
Wakubwa poleni na majukumu,
mimi nipo apa guest kwa mala ya kwanza ndo nipo na demu iv ila sasa kasema nivae modo
sasa ndo nipo najiuliza je nikifika dukani niulze nn maana naogopa kusema nahitaji condom
jamani nisaidieni nisije aibika mwenzenu, wenzangu cjui huwa mnasemaje mkifika madukani.