Je, Marekani atavamia Iran?

Je, Marekani atavamia Iran?

Unaanzisha ugomvi ukitegemea majirani?

Hao majirani wametoa msaada gani alipopigwa mtoto wako mpaka kufa?

China, india, urusi nk. Wametoa msaada gani kwa iran baada ya kiongozi wakivita kutoka iran kulipuliwa na marekani?

Hivi unafikiri hasara atayopata china kwenye mafuta italingana na hasara ya silaha zake za kivita ambazo atatumia kwenye uwanja wa vita?

Hivi unafikiri hasara ya kukosa mafuta kutoka iran ina hasara zaidi kuliko hasara ya ku risk maisha ya raia wake kwasababu ya mafuta tu ambayo angeweza kuyapata tofauti na hapo mfano saudia

Kipi hasara hapo?
 
Tatizo unaruhusu hisia kuchanganua hili swala...inapokuja swala la maslahi ya Nchi lazima kuna wengine watapoteza maisha kulinda ayo maslahi...unafikiri wamarekani wangapi wamekufa ili kuwezesha marekani kuexploit mafuta kutoka middle east. Au unafikiri marekani imeweka roho za wananchi wake kule kwa sababu gani?? Ni maslahi ya nchi

Angalia congo ukifika kule utaona FBI na wanajeshi wengine ambao wapo kule kwa maslahi ya nchi bila kuangalia kama hao watauliwa Uko au lah...inapokuja iShu za maslahi ya Nchi basi lazima kuna watu watatoa sadaka ya maisha yao kwa Taifa lao iwe sababu ya kiuchumi, kisiasa au kijamii.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mafuta Yanayopatikana IRAN Ndio Mafuta Yenyewe Pale Mashariki Yakati

Pia Unahisi US Angejaribu Kuipiga IRAN Wese Lingeuzika

Pia SAUDIA Hawez Kumuuzia Mafuta CHINA

The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo unaruhusu hisia kuchanganua hili swala...inapokuja swala la maslahi ya Nchi lazima kuna wengine watapoteza maisha kulinda ayo maslahi...unafikiri wamarekani wangapi wamekufa ili kuwezesha marekani kuexploit mafuta kutoka middle east. Au unafikiri marekani imeweka roho za wananchi wake kule kwa sababu gani?? Ni maslahi ya nchi

Angalia congo ukifika kule utaona FBI na wanajeshi wengine ambao wapo kule kwa maslahi ya nchi bila kuangalia kama hao watauliwa Uko au lah...inapokuja iShu za maslahi ya Nchi basi lazima kuna watu watatoa sadaka ya maisha yao kwa Taifa lao iwe sababu ya kiuchumi, kisiasa au kijamii.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unapozungumzia vita swala la watu kupoteza maisha lazima liwepo kwaiyo fikiria mara mbili kabla hujachukua maamuzi ya kuingia msituni kupambana, sio unaingia vitani kwa msukumo wa hasira tu bila kuangalia impact yake itayotokea hapo mbeleni halafu mwishowe watu wafe uanze kulalamika

Na mpaka saizi iran imeshalibashiri hilo kua haijiwezi kivita na ndio maana unaiona inabaki kupiga domo tu kama mange

Us kuweka majeshi yake nchi nyingine hiyo haimaanishi kwamba nchi hiyo wakizingua US wasi respond kwasababu kuna maslahi, Iran inauza utuli lakini marekani anaakiba ya mafuta mengi kuliko nchi yeyote unayoijua na marekani ndio nchi pekee ambayo imekamilika kila idara kasoro gossip tu ndiyo iran kampiku US

Marekani karibia kila nchi kuna majeshi yake lakini sio kila nchi inamajeshi yake marekani.

Hao FBI walioko kongo wametulia kwasababu hakuna kashi kashi itakayo waathiri wao, ila wakijitusu kuanzisha ugomvi kwa kutegemea marekani haita resoond kwasababu wamewekeza huku aisee watajuta
 
Mafuta Yanayopatikana IRAN Ndio Mafuta Yenyewe Pale Mashariki Yakati

Pia Unahisi US Angejaribu Kuipiga IRAN Wese Lingeuzika

Pia SAUDIA Hawez Kumuuzia Mafuta CHINA The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba maji ya kile kisima ndio masafi hivyo tembo akitaka kunywa atazuliwa na kelele za chura?

Mafuta yawe yenyewe yasiwe yenyewe hilo halimzuii marekani kutoa kiminyo kwa watao muudhi
 
Unapozungumzia vita swala la watu kupoteza maisha lazima liwepo kwaiyo fikiria mara mbili kabla hujachukua maamuzi ya kuingia msituni kupambana, sio unaingia vitani kwa msukumo wa hasira tu bila kuangalia impact yake itayotokea hapo mbeleni halafu mwishowe watu wafe uanze kulalamika

Na mpaka saizi iran imeshalibashiri hilo kua haijiwezi kivita na ndio maana unaiona inabaki kupiga domo tu kama mange

Us kuweka majeshi yake nchi nyingine hiyo haimaanishi kwamba nchi hiyo wakizingua US wasi respond kwasababu kuna maslahi, Iran inauza utuli lakini marekani anaakiba ya mafuta mengi kuliko nchi yeyote unayoijua na marekani ndio nchi pekee ambayo imekamilika kila idara kasoro gossip tu ndiyo iran kampiku US

Marekani karibia kila nchi kuna majeshi yake lakini sio kila nchi inamajeshi yake marekani.

Hao FBI walioko kongo wametulia kwasababu hakuna kashi kashi itakayo waathiri wao, ila wakijitusu kuanzisha ugomvi kwa kutegemea marekani haita resoond kwasababu wamewekeza huku aisee watajuta

Tatizo ndugu zangu uwa atufuatilii mambo...Marekani inaomba vibali kwenye nchi fulani ya kuweka millitary base yake kwasababu ya kutoa mafunzo na kuwajengea uwezo wa kijeshi nchi husika ikiwa ni kama kuongeza uhusiano wa nchi hizo mbili.

Tatizo lilianza baada ya kuonekana marekani lengo lake ni kutumia kambi hizo za jeshi kupigana vita kwenye nchi nyingine ndipo umoja wa mataifa ukatoa azimio kuwa marekani haitaruhusiwa kutoa mashambulizi kupitia nchi nyingine mpaka ipate kibali kutoka kwenye nchi husika ndo maana Iran inafahamu hii sheria kuwa marekani akitaka kufanya mashambulizi kutokea nchi nyingine lazima ipate kibali kutoka kwnye hiyo nchi otherwise anabidi afanye mashambulizi kutokea marekani jambo ambalo haliwezekani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Japan alijaribu kuonesha kama anataka kutumiwa na marekani kuleta figisu kule North Korea mara Kiduku akapitisha kombora juu ya ardhi ya Japan ndipo Japan akawa mkali kwa USA na kuamuru propaganda zake azifanyie kutokea nchi nyingine ikiwemo south korea ila sio kwake

Noma sana kwaiyo iran anao waiga anataka kuwashinda kiujuzi?
 
Nilikuwa nawasikiliza wa chambuzi leo wa hili swala la Iran na USA kuwa Trump alikosea kutoa ile speech baada ya kumuua yule jenerali wa Iran kwani alitoa ahadi za vitisho kwa Iran endapo Iran itafanya mashambulizi na baada ya kufanya mashumbulizi Dunia nzima ikawa inasubiri kuona utekelezwaji wa maneno yake Trump.

Baada ya Trump kuwa mpole leo imeipa nguvu kubwa Iran ya kuendelea na harakati zake za kuindoa Marekani middle east na Pia kwa Taifa la North Korea nao imeona kuwa Marekani haitako Vita hvyo atawaendesha.

Na kuhusu swala la vikwazo wamesema kuwa ujerumani, China na Urusi ipo kwenye kutafuta namna bora ya mfumo wa fedha za kibiashara ambao hautaweza kutishwa na vikwazo vya Marekani na hili likifanikiwa wanasema Middle east yote ita adapt huu mfumo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizo ni ndoto za alinacha.

Hivi USA wakati anamuua huyo Jamaa wa Iran hakuzingatia hayo yote?

Marekani kwa sasa ina kichaa, hivyo kuwepo au kutokuwepo kwa vita ipo kwenye mikono ya Trump na Iran...na kwa kuwa Iran kama North Korea wanaendekeza ushindani, basi Kichaa Trump ni mwenzao asiyejali matokeo zaidi ya kutaka sifa.
 
Japan alijaribu kuonesha kama anataka kutumiwa na marekani kuleta figisu kule North Korea mara Kiduku akapitisha kombora juu ya ardhi ya Japan ndipo Japan akawa mkali kwa USA na kuamuru propaganda zake azifanyie kutokea nchi nyingine ikiwemo south korea ila sio kwake

Sent from my iPhone using JamiiForums
hiyo kali
 
Jibu la swali hili ni HAPANA kwasababu ifuatayo:

China iliitangazia dunia May 2019 kuwa itapingana na vikwazo vyovyote vya marekani vya kumzuia kununua mafuta kutoka Iran.

India nayo ilitangaza pia kupingana na vikwazo vya marekani vya kuwazuia wao kununua mafuta kutoka Iran kwani nchi hizi zinategemea mafuta kwa kiasi kikubwa kutoka Iran.

Shambulio lolote litakalofanywa nchini Iran itapelekea kuzuia biashara ya mafuta kuelekea nchi hizo ikiwemo China ambayo italazimika nayo kupeleka nguvu ya kijeshi ili aendelee kupata mafuta kwani ni moja ya kichocheo kikubwa cha uchumi wa nchi yake hawezi kuvumilia usitishwaji wa mafuta kwenda nchini kwake.

Kuthibitisha hilo kwa wanaokumbuka shambulio ambalo Japani lilifanya kule Pearl harbour ilitokana na Marekani kuzuia uingizaji wa mafuta kuelekea Japan kutoka julai 1941 na kuendelea. Shambulio la Japan lilikuwa ni hatua ya kuonesha hasira yao baada kuzuia uingizaji wa mafuta Japan.

Uvamizi wa Kijeshi utakaofanya na Marekani wa kuingia Iran ni kutangaza vita kwa China na India . China anaweza kurudisha mashambulizi kwa kusaidiana na Iran ambapo China ana umiliki mkubwa wa silaha za nyuklia kwani mafuta kwa dunia ya sasa ni muhimu kama yalivyo maji kwa Taifa lolote.

Mbali na hizi nchi mbili kutegemea sana mafuta kutoka Iran bali nchi nyingine zinazotegemea mafuta kutoka Iran ni pamoja na Nchi za ulaya, Japan , korea ya kusini na nyingine nyingi na hii inaonyesha hata baadhi ya washirika wa marekani wanategemea mafuta kutoka nchi hii hivyo kuvamiwa kwake inaweza ikaleta usaliti mkubwa kwa marekani kwani wengi watamsaliti kwakuwa atakuwa amegusa maslai yao pia na ndo maana siku zote wamekuwa kimya pale marekani alipotoa maneno ya kuvamia kijeshi Iran na hawataki kutoa neno lolote kuonesha support kwa marekani.

Vikwazo au shambulio lolote kwa Iran ni tishio kwa usalama na ulinzi wa China na India .

Urafiki wa China na Iran ilipelekea China kumpatia Iran Copy ya Teknolojia ya Silaha aina ya EMAD Anti Ship Missile ambayo ni silaha nzito ya kuangamiza meli kubwa za kivita na hili swala liliwakera sana wamerakani baada ya China kucopy hiyo teknolojia na kumpatia Iran. Nchini China hii Silaha inaitwa Dong Feng-21 ship killer.

Iran pia kwa kushirikiana na korea ya kaskazini iliweza kutengeneza rocket ya kubeba makombora mazito yenye tabia sawa na ya korea kaskazini aina Nodong. Kombora hili lina mtambo wa rocket wa kuruka mbali ambayo inaweza kufuata kombola lingine aina ya Aegis angani na kulizuia kabla ya kuja kuleta madhara ardhini na kombora hili limefungwa mifumo ya siri isiyoweza kuwa detected na radar wakati inakwenda kusawazisha hilo kombora hvyo ni ngumu kutabiri mwelekeo wa ujio wake. Ushirikiano huu wa Iran na Korea kaskani uliongezea vikwazo vingi sana Iran.

Marekani amekosa uhuru wa kuitawala anga la Iran . Wakati JCPOA wakijadiliana na Urusi 2013-2015, Urusi ilikubali ombi la Marekani la kutouizia Iran Mfumo wa kujikinga na mabomu wa S-300. Baada ya Marekani kujitoa kwenye JCPOA mwaka 2019, Urusi akavunja makubaliano yake na Marekani ya kutoiuzia mfumo wa kujikinga na mabomu S-300 kwa Iran.

Baada ya Iran kuzuiwa kupata huo mfumo wa S-300 ikaja ikafanikiwa kupata nyaraka za siri ya jinsi ya kutengeneza copy ya ule mfumo. Iran walitengeneza copy ya teknolojia ya mfumo wa S-300 lakini wakaiongezea uwezo zaidi kuliko ule mfumo wa awali wa S-300. Ilikuja kuonekana kuwa nyaraka za Siri za kutengeneza huo mfumo pia Korea ya kaskazini walizipata na wao wakatengeneza copy yao na ikaja kuonekana Iran walizipata kutoka Belarus .

Copy ya S-300 iliotengenezwa Iran iliitwa Bavar 373. Baada ya kufanyiwa Majaribia ndipo ikaja kuonekana mfumo huo wa kujikinga na makombora unafanana na mfumo wa kisasa amabao ni toleo jipya la S-400 ya nchini Urusi. Mpaka leo hii Marekani inamlaumu Urusi kuwa aliuza teknolojia hiyo kwa Iran.

Mfumo huu unaweza kuzuia makombora kwa wakati mmoja yaliyorushwa kutoka kwenye vyanzo tofauti kwani inafanya kazi kulingana na frequencies za ayo makombora.

Kuivamia Iran ni jambo ambalo haliwezi kutokea ama iwe ya kisiasa au kiuchumi. Marekani itaongeza tu vikwazo kwa Iran na sio kuivamia kijeshi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
hua napenda mtu anaetoa copy maana anaingezea na manjonjo yake lazima iwe kitu
 
At least now tunaweza kupata mapumziko maana WW3 has been officially delayed..

Cheers wazee wa jukwaa hili la kimataifa.

Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo paragraph ya mwisho ina ujumbe mzito sana ambao umenifanya sasa nielewe kwanini America allies wapo very reluctant kwenye hii conflict.
"I am not a conspiracy theorist but recall that on December 27th, China, Iran, and Russia began an unprecedented exercise in naval war games and training in the waters around Iran.

Clearly big winners in any US vs Iran military conflict are the Russians and the Chinese. They may have taken advantage of an inexperienced President and a shockingly inexperienced foreign policy team to manipulate a crisis, and done it with few fingerprints.

These countries, with ruthless, experienced leaders know that they cannot win a direct military confrontation with the US, but they understand that great harm would come to America from a conflict with Iran.

At the same time the war games were going on, hundreds of Iranian-led Shia militias in Iraq attacked, for two days, the US Embassy in Bagdad.

Trump, predictably tweeted, that Iran "will pay a very BIG PRICE" for any damage. "This is not a warning, it is a threat," he said.

Almost as if scripted by Putin's psychological war teams, the next move came from Iran. Manipulating Trump's known character weaknesses, Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei responded to Trump's manhood by saying the US was under siege, that Trump "can't do a damn thing". Anti-American sentiment was widespread in Iraq, he added.

Trump's ego on the line, he responded with the attack on Soleimani. Perhaps the assassination was the right move. Or, perhaps a was a predictable trap.

Either way, with the US domestic political division widened by Trump's actions--and the possibility of great loss of American's people and treasure, the geopolitical lottery winners in an ensuing crisis are Russia and China.

Without firing a shot. Russia will get higher oil prices and the mighty US military may be absorbed in a conflict in the Middle East. America's might and influence will be distracted from Putin's military adventures in Ukraine and other countries.

China is a big winner as well. It will leave Beijing free to pursue its outrageous Spratly Islands claims that give China virtually the entire South China Sea. The US Navy, tied up with Iran, will be unlikely to continue its 'show the flag' visits in the Spratlys. With the US tied up in the Gulf of Hormuz, Beijing also gets a free card to deal with a recalcitrant Hong Kong and remind Taiwan that it is part of China and not the 51st state. Without interference from the distracted US, China will feel confident to be belligerent.

And finally, as the grip of world power begins to sway, Trump has alienated many of our traditional allies in the Middle East and Asia, so America stands pretty much alone.

The world smells the power shift and will continue to make adjustments away from America---and toward the east."

Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
 
Na hapo mmarekani ndio wanazidi kumvuruga maana hawezi pigania vita katika ardhi yake hata siku moja.
Iran has again warned regional dictators
If any country in Persian Gulf - #UAE #SaudiArabia and others allow US military installations to be used in any attack on Iran THOSE REGIMES WILL BE ENDED - They must pull back now
- Prof Mohamad Marandi
#AxisOfResistance #IranAttacks Nardeep Pujji on Twitter

Back
Top Bottom