Naomba mnisaidie, modem yangu nikiiunganisha na mobile hotspot inazima

mabuladaud

Member
Jun 19, 2019
15
7
HAbari zenu wakuu?

Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine.

Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja alama za maneno tu. Nmejaribu ku unistall tatzo bado lipo.
 
Mkuu eka vizuri hapo unatumia vifaa gani na vina os gani, modem una connect kwenye nini na hio hotspot umetengeneza kwenye nini

Na hizo sms dashborad yako ni ipi.
 
MODEM na connect kwenye laptop windows 10 af hii modem ina build in wifi inaconnect ila no internet access shida ni kwamba nataka nitumie ile windows 10 build in mobile hotspot lakini nikiweka tu modem hiyo hotspot inakuwa inactve.
 
Tumia connectify me, program ya kutengenezea hotspot yenye 3rd party adapter.
 
HAbari zenu wakuu?

Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine.

Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja alama za maneno tu. Nmejaribu ku unistall tatzo bado lipo.
Kama ulifanikiwa naomba nami inisaidie.Modem HSPA 3.5G ina soft wifi na nimeunganisha na smartphone yangu lakini ujumbe unaokuja ni "connected.No internet".
 
Back
Top Bottom