Mtego wa Jana Sumu

mabuladaud

Member
Jun 19, 2019
15
7
Kwa hali ya Maisha iliyopo saivi Ni bora nisioe au nioe basi tuu maana kuzini kumekuwa kama jambo la kawaida. Nipo hapa geto naishi na jirani yangu ambaye ni mfanya kazi mwajiliwa wa sarikali, pia ameoa, NA mimi ni mwanafunzi bado.

Sasa kinacho nipa shida kila siku ni kuwaza kuhusu hawa wanawake maana mara ya kwanza nilipokuja hapa geto nilikuwa namuonaga tu yule mkewe ki-ukweli ameumbika na mzigo upo pia wa kutosha tu kwa maana kwamba hata ukipishana nae njiani huwezi ku kuendelea bila kuangalia kinyumanyuma mara mbilimbili na roho lazma ikusute kama hujaongea nae hata neno moja. Nilijaribu kumtumia sumu ikawa kama imechanganyikana na maziwa, nika kausha vile, baadae majirani wakaniambia kuwa ni mke wa mtu maana yule mume wake alikuwa hashindi nyumbani na nilikuwa sijawahi kumwona.

Siku cahche baadae amekuwa akija geto na kunipigisha story nyingi nyingi zkiwemo na za mume wake kwakusema kuwa “mume wangu hawezi kuja kizembe nyumbani, amebanwa sana kazini”. Imefika mahali Yale maziwa yaliyotumika kuharibu sumu ndo yamegeuka Kuwa sumu kali kuwahi kutokea, maana anachonifanyia sio kizuri ila ni kizuri sana tu kama ni kizuri, amejaribu hata kunivizia wakati natoka kuoga na kumkuta chumbani akisema anipakae Mafuta nikamzuia, pia aliwahi kunigongea usiku akisema “mume wangu haji leo nimeshindwa kulala mwenyewe” Nmeendelea kuikwepa hiyo mishale lakini imekuwa kama namkorofisha nyuki aliekuja kwenye kikombe cha chai.

Cha ajabu jana amekuja na kanga peke yake ili kunirahisishia kazi. Ki ukweli kama upo nje na ukimwangalia kwa nyuma anavy kuja ndani, Haki ya Mungu Hata Mungu ajitokeze akwambie hiyo ni zambi huwezi kuelewa. Amekuja amekaa kitandandi kwa vile nshazoea mitego yake sikustuka kama ukilinganisha na siku ya kwanza unapoenda kwa mganga wa kienyeji. Anasema eti nimpige picha za uchi, kabla sijajibu chochote kwa mahaba akanisukumia kwenye 6*6 kilichotokea nkaona bora nimwombee msamaha tu kwa Mungu maana sio kosa langu.

Kinachonipa mawazo ni kwamba hata Nikioa mke wangu atanifanyia tu hivi vitu. Maana sio mara ya kwaza ilisha wahi kunitokea maranyingi tuu kama sikuweza kuhukumu wote kwa mtu mmoja. Hata kaka yangu yeye ni mbabe na anahasira za kuweza kudhulu mtu tunamweelewa sana tu hapo nyumbani, alishawahi kumwambia mke wake kuwa siku akimcheet ndo itakuwa movie imeisha, lakni Sikuweza kuamini pale mke wake alipozini na jirani yake.

Sasa haya Maisha ya saivi siyaelewi kabisa bora nichukue tu embe nikalie kwenye kichanja kuliko kulia kisa mpezi wako amekuchit.
 
Sasa kinacho nipa shida kila siku ni kuwaza kuhusu hawa wanawake maana mala ya kwanza nilipokuja hapa geto nilikuwa namuonaga tu yule mkewe ki-ukweli ameumbika na mzigo upo pia wa kutosha tu kwa maana kwamba hata ukipishana nae njiani huwezi ku kuendelea bila kuangalia kinyumanyuma mala mbilimbili na roho lazma ikusute kama hujaongea nae hata neno moja. Nilijaribu kumtumia sumu ikawa kama imechanganyikana na maziwa, nika kausha vile, baadae majirani wakaniambia kuwa ni mke wa mtu maana yule mume wake alikuwa hashindi nyumbani na nilikuwa sijawahi kumwona.

Siku cahche baadae amekuwa akija geto na kunipigisha story nyingi nyingi zkiwemo na za mume wake kwakusema kuwa “mume wangu hawezi kuja kizembe nyumbani, amebanwa sana kazini”. Imefika mahali Yale maziwa yaliyotumika kuharibu sumu ndo yamegeuka Kuwa sumu kali kuwahi kutokea, maana anachonifanyia sio kizuri ila ni kizuri sana tu kama ni kizuri, amejaribu hata kunivizia wakati natoka kuoga na kumkuta chumbani akisema anipakae Mafuta nikamzuia, pia aliwahi kunigongea usiku akisema “mume wangu haji leo nimeshindwa kulala mwenyewe” Nmeendelea kuikwepa hiyo mishale lakini imekuwa kama namkorofisha nyuki aliekuja kwenye kikombe cha chai.

Cha ajabu jana amekuja na kanga peke yake ili kunirahisishia kazi. Ki ukweli kama upo nje na ukimwangalia kwa nyuma anavy kuja ndani, Haki ya Mungu Hata Mungu ajitokeze akwambie hiyo ni zambi huwezi kuelewa. Amekuja amekaa kitandandi kwa vile nshazoea mitego yake sikustuka kama ukilinganisha na siku ya kwanza unapoenda kwa mganga wa kienyeji. Anasema eti nimpige picha za uchi, kabla sijajibu chochote kwa mahaba akanisukumia kwenye 6*6 kilichotokea nkaona bora nimwombee msamaha tu kwa Mungu maana sio kosa langu.

Kinachonipa mawazo ni kwamba hata Nikioa mke wangu atanifanyia tu hivi vitu. Maana sio mala ya kwaza ilisha wahi kunitokea malanyingi tuu kama sikuweza kuhukumu wote kwa mtu mmoja. Hata kaka yangu yeye ni mbabe na anahasira za kuweza kudhulu mtu tunamweelewa sana tu hapo nyumbani, alishawahi kumwambia mke wake kuwa siku akimcheet ndo itakuwa movie imeisha, lakni Sikuweza kuamini pale mke wake alipozini na jirani yake.

Sasa haya Maisha ya saivi siyaelewi kabisa bora nichukue tu embe nikalie kwenye kichanja kuliko kulia kisa mpezi wako amekuchit.
Hao ndio wanawake... Weka ndani ya nyumba at ur own risk.
 
Kwa hali ya Maisha iliyopo saivi Ni bora nisioe au nioe basi tuu maana kuzini kumekuwa kama jambo la kawaida. Nipo hapa geto naishi na jirani yangu ambaye ni mfanya kazi mwajiliwa wa sarikali, pia ameoa, NA mimi ni mwanafunzi bado.

Sasa kinacho nipa shida kila siku ni kuwaza kuhusu hawa wanawake maana mara ya kwanza nilipokuja hapa geto nilikuwa namuonaga tu yule mkewe ki-ukweli ameumbika na mzigo upo pia wa kutosha tu kwa maana kwamba hata ukipishana nae njiani huwezi ku kuendelea bila kuangalia kinyumanyuma mara mbilimbili na roho lazma ikusute kama hujaongea nae hata neno moja. Nilijaribu kumtumia sumu ikawa kama imechanganyikana na maziwa, nika kausha vile, baadae majirani wakaniambia kuwa ni mke wa mtu maana yule mume wake alikuwa hashindi nyumbani na nilikuwa sijawahi kumwona.

Siku cahche baadae amekuwa akija geto na kunipigisha story nyingi nyingi zkiwemo na za mume wake kwakusema kuwa “mume wangu hawezi kuja kizembe nyumbani, amebanwa sana kazini”. Imefika mahali Yale maziwa yaliyotumika kuharibu sumu ndo yamegeuka Kuwa sumu kali kuwahi kutokea, maana anachonifanyia sio kizuri ila ni kizuri sana tu kama ni kizuri, amejaribu hata kunivizia wakati natoka kuoga na kumkuta chumbani akisema anipakae Mafuta nikamzuia, pia aliwahi kunigongea usiku akisema “mume wangu haji leo nimeshindwa kulala mwenyewe” Nmeendelea kuikwepa hiyo mishale lakini imekuwa kama namkorofisha nyuki aliekuja kwenye kikombe cha chai.

Cha ajabu jana amekuja na kanga peke yake ili kunirahisishia kazi. Ki ukweli kama upo nje na ukimwangalia kwa nyuma anavy kuja ndani, Haki ya Mungu Hata Mungu ajitokeze akwambie hiyo ni zambi huwezi kuelewa. Amekuja amekaa kitandandi kwa vile nshazoea mitego yake sikustuka kama ukilinganisha na siku ya kwanza unapoenda kwa mganga wa kienyeji. Anasema eti nimpige picha za uchi, kabla sijajibu chochote kwa mahaba akanisukumia kwenye 6*6 kilichotokea nkaona bora nimwombee msamaha tu kwa Mungu maana sio kosa langu.

Kinachonipa mawazo ni kwamba hata Nikioa mke wangu atanifanyia tu hivi vitu. Maana sio mara ya kwaza ilisha wahi kunitokea maranyingi tuu kama sikuweza kuhukumu wote kwa mtu mmoja. Hata kaka yangu yeye ni mbabe na anahasira za kuweza kudhulu mtu tunamweelewa sana tu hapo nyumbani, alishawahi kumwambia mke wake kuwa siku akimcheet ndo itakuwa movie imeisha, lakni Sikuweza kuamini pale mke wake alipozini na jirani yake.

Sasa haya Maisha ya saivi siyaelewi kabisa bora nichukue tu embe nikalie kwenye kichanja kuliko kulia kisa mpezi wako amekuchit.
Mkuu we endelea tu kumpiga picha za uchi
Na kunasiku atakwambia muende nyumba zawageni ukamige picha ile unafungua chumba no 12B unamkuta MKULUNGWA kukaa na washkaji zake 6 pembeni kunavilainishi na Camera Movie inaanza
 
Kila siku watu wanapata ajali za magari lakin sio sababu watu kuacha kuendesha magari.

Tafuta unaemuamin. Kuwa nae.
Hayo ya kufikiria kitu kijacho ni kujitengenezea matatizo ambayo hayapo.
 
Siku zote huwa nasema cheza na vyote kwenye mahusiano ila usiguse
1. Mke wa mtu
2. Mwanafunzi

Matokeo yake
1. Utafaidika
2. Kutatuliwa malindaz
3. Kuaibishwa/ kupigwa
4. Kulogwa

Lolote ni matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom